Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Amit simba bado yupo anajiita saizi leo luxury coach anaenda mtwara na Sumry nae bado yupo anajiita Mbeya express anaenda Sumbawanga_Dar
 
We jamaa ndio umesababisha hiyo, unamnawa demu safarini 😀 😀
 
Nakumbuka miaka ya 96 Singida ligi ya Singida Arusha ilikuwa Kati ya SAHIB na BULLET, baadaye akaja TAKRIM. Kwa Singida Dar kilikuwa na Golden Coach, Blue Ship , Tawfik na really no challenge. Nakumbuka basi la really no challenge halikuwa na mpinzani kwa Singida Dar.
 
Air msae kabadili jina tu, ni yule mwizi wa matairi
 
Kwacha Transport
Zainab's
Makete
Maranzana
Ngurwi
Bin Kleb supu ya mawe
Lupila Bus Service
Tweve Coach
Special Coach
 
Lupelo ilikuwa Njombe not Iringa
 
Kwacha Transport
Zainab's
Makete
Maranzana
Ngurwi
Bin Kleb supu ya mawe
Lupila Bus Service
Tweve Coach
Special Coach
Umenikumbusha kuna basi la songea-mbeya liliitwa turbo express dereva alikuwa Giriki nyuma likiandikwa ''iga ufe na supu ya mawe''scania yenye carrier juu lilikuwa hatari sana wakikutana na kwacha lilioandikwa ''sweden made'' ilikuwa ni balaa!
 
Tanganyika bus Mwanza
 
Fresh Coach
Ngorika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…