Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Fresh ya Shamba
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Masiya

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Air msae alibadili jina na kujiita metro

Ila mdau kuna kampuni hapo zilikua na basi moja tu au mbili kupotea kawaida ila waliofikisha basi kumi wengi walifirisika....
 
Air msae alibadili jina na kujiita metro

Ila mdau kuna kampuni hapo zilikua na basi moja tu au mbili kupotea kawaida ila waliofikisha basi kumi wengi walifirisika....
Metro nae kapotea
 
Back
Top Bottom