Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Sumry amefariki mwaka huu
Kumbe unamzungumzia Sumry mtu na siyo kampuni🙂🙂 hivi unadhani hizi kampuni za mabasi zilizopo waanzilisha wote wapo hai?

Nakupa mfano wa MARANGU EXPRESS mwazilishi kafa basi zinadunda na zingine nyingi
 
Bembea, Ngorika.
 
Wewe siyo wa siku nyingi...huijui super najimunisa?? Aisee
 
Dar Xepres
 
Z
 
Huoni kwamba hili ni Jambo jema kwakuwa fedha nyingi zitabaki kwa wananchi ambao ni abiria tufauti na awali ambapo walionufaika zaidi walikuwa wamiliki wa mabasi na vituo vya mafuta?
bora pesa zibaki kwa wafanya biashara kuliko kwenye zikae tu kwenye taasisi za serikali zikawanufaisha viongozi wakubwa wa serikali
 
Kumbe unamzungumzia Sumry mtu na siyo kampuni🙂🙂 hivi unadhani hizi kampuni za mabasi zilizopo waanzilisha wote wapo hai?

Nakupa mfano wa MARANGU EXPRESS mwazilishi kafa basi zinadunda na zingine nyingi
zilikuwa za baba akafa,akaja mtoto nae akazifufua zikaja kasi nae juzi kati kafa,uzuri wa familia nyingi za kichaga ni kama wahindi wanalishishana biashara wangali wadogo ndio maana kampuni zao bado zipo kwenye soko
 
Wewe siyo wa siku nyingi...huijui super najimunisa?? Aisee
Naifahamu na hata hivyo miaka kama miwili ilikuwepo na gari kama mbili chakavu saivi nadhani kapotea. Naifahamu kitambo ila siwezi kukumbuka zote ndio.maana nikasema.muongezee wadau
 
Hao hua hawawezi biashara..Scandinavia ilikuaja kua Green star,ikaja kua Dar lux lakini kwisha habari yao

Hawawezagi
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1306]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…