Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Ufitaba na Sabena
 
Ngorika yupo kwa jina la Capricorn,tena karudi kwa Moto mkali
Capricon ni mtoto ambaye ameanza miaka ya mwishoni mwa 2011....

Ngorika alibaki nayo Kaka kwa maana Kila mtoto Ana share..... Ila Mke wa Kaka akawa Ana-embezzle fedha na mpaka akajenga petrol station hapa Moshi katikati ya Mjohoroni na Sango.......... Ndugu wengine wakamind wakaenda mahakamani na kustopisha kampuni mama
 
Back
Top Bottom