Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kampala Dar kama sijakosea... ofisi zao pale karibu na africana hotel Kampala.. pale pembeni ya keepleft... karibu na Airtel Uganda HQ ya zamani kabla hawajahamaAKAMBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampala Dar kama sijakosea... ofisi zao pale karibu na africana hotel Kampala.. pale pembeni ya keepleft... karibu na Airtel Uganda HQ ya zamani kabla hawajahamaAKAMBA
Ya wapi hii?
Aweke nini?Acha aisee, kumbe kuna mabo yao chini ya kapeti? 😳
Sumry-Mbeya express zmebaki chache.ISumry kawa mkulima sasa hivi
Ilikuwa inapiga dar-masasi kuna muda pia niliiona dar-makambako na mbeya nafikiriYa wapi hii?
Hiyo widambe itakuwa ya njombe mkuu, je ni kweli?[emoji23][emoji23]Widambe
Simba Luwala
Dom kwenda wapi? mbona siikumbuki na nimeishi DomSuper cumber (Dodoma)
Yap ni NjombeHiyo widambe itakuwa ya njombe mkuu, je ni kweli?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka we jamaa mkazi wa Tanga kitambo saanaYarabi toba ,,,tanga ..dar
Yarabi salama ...tanga ..dar
Mkaramo ..tanga ....dar..
Kidato...tanga ..dar
Ambiasi...tanga ...dar.
Maranzana...tanga.. .dar
Saad...tanga ..dar
Amtico...tanga ..dar.
Kamata...tanga ..dar..
Zafanana,,,tanga ..dar..
Siri yako.Dodoma ...dar
Kipengule..dar ...Dodoma..
Super star..dar ...Dodoma,,
Bila shaka we jamaa mkazi wa Tanga kitambo saana
Mapande
Yupo kwa Kilimanjaro express anasindikiza bus kutoka Tunduma anashukia Iringa anarudi tena Tunduma.Yeah, huyu nae keshafulia ramani
Wewe kama si wa Lizaboni, au Mateka basi wa Matalawe wewe...!!! ahahaha huwezi kutaja hivyo banaa...!!! Kwacha stendi ilikuwa kwa mama Sabena au sisi kwa sisi pale... Siku hizi soko la manzese
Kafikia huko? 😳 😳 😳Yupo kwa Kilimanjaro express anasindikiza bus kutoka Tunduma anashukia Iringa anarudi tena Tunduma.
Sana... air Masae ilibaki viti wazi pale Chalinze MzeeMkuu AirMsae na Shengena zimeacha Historia ya majonzo balaa ,
Aha ha ha ha nimewahi kuona hilo neno widambe limeandikwa kwenye kilabu cha ulanzi pale njombe nikafananisha mkuuYap ni Njombe
Kulikuwa na Widambe. Makete na Lupelo
Songea kulikuwa na Kiswele, Special Coach na Tawaqal