Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

TANGANYIKA BUS
KIBO BUS
GULAM BUS
TAMTI BUS
SASAKAZI BUS

20211104_142408.jpg
 
K
Mkuu upo nje ya nchi au Nyehunge ana basi Mpyaaa za kutosha anakimbiza balaa njia ya Dar Mwanza
Kabisa mkuu, huwa napata hamasa sana ninapoona kampuni za zamani zinajia update,na kuteka soko bila kuyumba,huwa natamani sana kukutana na wamiliki kujua mbinu wanazotumia
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Fresh ya Shamba
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Masiya

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
DAR LUX
 
Back
Top Bottom