Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

Kuna siku nimeacha 1000 vocha ktk line,nakuja kucheki baadae kuna 940,nikapiga huduma kwa wateja naambiwa umejiunga na huduma za sport,eti niwe napata updates za michezo,nikamuuliza lini mimi nimejiunga na hiyo huduma??nayeye akahamia ktk swali,vipi unataka kujitoa??nikamjibu ishu sio kutoka naulizia 60 yangu naipataje maana mmeikata bila ridhaa yangu,akakata simu ikaja sms kwamba nimejitoa ktk huduma hiyo,nikabaki nashangaa tu.

Yaani ukiacha salio ktk simu ukaona sms ngeni ya ofaa jua kabisa wanfanya mapenzi na vocha uliyoibakiza.
 
Wanakera sana hao wanaopiga wanaanza kukupigisha soga za Voda Bima na ukiwajibu vizuri baada ya siku chache wanarudia tena so rubbish
Yaani kwa makampuni ya Tanzania mteja ni bwege tu kwao
 
hii mitandao si salama kabisa

majuzi nimepata simulizi kwa jamaa yangu ya kutapiliwa na wakala msajili laini wa kampuni x aliye mhitaji kubadilishia simu kadi yake kua 4g nimebaki kushanga sana.huyo msajili laini kaingia hadi kwenye simu pesa ya jamaa na kukopa kisha kutoa pesa zote zilizokuwepo pamoja na kumwachia jamaa deni la 50k jumla kandoka na 1.25m
 
Back
Top Bottom