Kuna siku nimeacha 1000 vocha ktk line,nakuja kucheki baadae kuna 940,nikapiga huduma kwa wateja naambiwa umejiunga na huduma za sport,eti niwe napata updates za michezo,nikamuuliza lini mimi nimejiunga na hiyo huduma??nayeye akahamia ktk swali,vipi unataka kujitoa??nikamjibu ishu sio kutoka naulizia 60 yangu naipataje maana mmeikata bila ridhaa yangu,akakata simu ikaja sms kwamba nimejitoa ktk huduma hiyo,nikabaki nashangaa tu.
Yaani ukiacha salio ktk simu ukaona sms ngeni ya ofaa jua kabisa wanfanya mapenzi na vocha uliyoibakiza.