Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g.
Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo.
Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia simu yangu yenye uwezo wa 5g network hipo sawa.
Lakini hakuna lolote zaidi simu inatumia mda mrefu na uwezo app ambazo zinatambua kuwa mifumo ilishabadilika.
Nieleze tu ukweli hapa japo itakuwa mwiba TCRA.
Mitandao ya simu iwezi kubadilisha mifumo kwa haraka kama sheria zinavyo taka kutokana na mabadiliko na inatakiwa kubadilisha haraka.
Ila serikali inaweza kuwa na gari mpya new model V8 kuliko elimu na n.k
Sasa hii tabia inaonesha makampuni ya simu upata fursa sana kwa TCRA.
Watu wengi wamekuwa wakinunua simu wanashangaa mbona zinakuwa tofauti na utendaji!