Kampuni za simu zaiangukia Serikali tozo ya miamala. TPSF yataka benki zisiachwe

Mbona vifurushi vya bando walipandisha na wamekataa kurudisha kama mwanzo? Wenyewe wezi tu
 
Mimi naona tatizo sio TOZO mpya, tatizo kwenye system ya kutuma na kupokea pesa i.e Mpesa,tigopesa etc etc WATU WA KATI WENGI sana wanachukua ASILIMIA kwa pesa za WANANCHI.

Serikali ingewapunguza kwanza WATU WA KATI halafu ndio WANGE impose TOZO
 
Tokea lini kampuni za simu zikawaonea huruma wateja wake?

Mama anaupiga mwingi

Kazi iendelee
Elewa jambo kabla ya kujibu,hayo makampuni yanalalamikia kushuka kwa mapato yao yanayotokana na gharama wanazotoza katika miamala baada ya watu kususia kutuma hela kwa njia ya simu.
 
Naona Server mauzo yametingishikaaa hasaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] walidhanii watu hawana acc za bank wakafurahi kumbe ndo inakula kwao watu hawataki ujinga.
Wanasema weekend nzima watu walikua wanatoa tu hakuna anaeingiza salio jipya.
 
Elewa jambo kabla ya kujibu,hayo makampuni yanalalamikia kushuka kwa mapato yao yanayotokana na gharama wanazotoza katika miamala baada ya watu kususia kutuma hela kwa njia ya simu.
Na wewe elewa swali pia huruma kushuka kwao tu mapato, je mabando ya dhulma wanavyowafanyiwa wateja wao wapo sawa?
 
Ukweli serikali ilikurupuka kwenye hizo tozo zao, watua wakirudi kwenye njia za zamani za kifedha bado serikali itaumia kwa kupoteza mapato bado warudi nyuma wajitathimini kabla mambo hayajawa hivyo.
Madhara ya hizo tozo Ni mengi Sana.
1)kwanza Ni kupunguza mapato kwa makampuni ya simu yatayopelekea kupunguza wafanyakazi.
2)serikali kupoteza mapato kutokana na mzungungo wa pesa kuipitia mitandao ya simu kushika chini.
3) kuua biashara za mitandaoni maana hakuna mtu atalipa kwa njia ya mtandao kuhofia makato.
Kuua ajira kwa vijana waliojiajiri kwenye mawakala
4)kupunguza mazunguko wa fedha hasa maeneo ya vijijini kwa kuwa wengi hutegemea pesa (remitances) zinazotoka mijini kwa vijana wao ambazo nyingi huwafikia kwa njia ya mawakala Hilo litaongeza umasikini na ufukara huko tutokako vijijini
5 uharifu kwa kuwa pesa itakuwa kwa mikononi kwa watu ikiwa cash/ taslimu
6) serikali kuchukiwa kwa sababu hizi tozo hazijazingatia uhalisia wa uchumi wa mtu mmoja mmoja hasa kwa walioweki ambao Ni watumiaji wa hizi huduma Ni watu wa kipato Cha chini na Kati.
My take;
Tozo hizi ziwe rafiki kwa watu na sio adui
Serikali iweke tozo ambayo unaweza anzia 50-100 )kwa miamala ya 1000-10000, 100-200 kwa miamala ya 10001- 30000 etc, hapo wla hakuna mtu atalalama na kwa wale wa milion plus tozo isizidi 20000. Turinde ajira za vijana kwa amani ya taifa letu, tusiwatupe tueashirikishe kujenga taifa.
 
View attachment 1859184

Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu

Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale

My Take
Rais ajiuzulu
Simlisema wabunge wa upinzani wanakwamisha maendeleo
Mama ajiuzulu Tu , sio kila mtu anaweza kuwa Raisi bhana , unatuwekeaje tozo za ajabu ajabu alaf unavunga kama huelewi kinachoendelea
Kama kujiuzulu angejiuzuru yule muuaji wa binadamu,Hadi mwishoe akafa yeye
 
Anajaribu kuendana na speed ya jpm bila kujua jpm alikuwa anafanyaje na hata kama anajua anaona kama njia alizozitumia jpm sio sawa kwake sasa ndio jumba bovu anatuangushia cc wa kipato cha kawaida.
 
Mwizi ni serikali.sijui magaidi sikuhizi hawapo? Bora wafe na korona kuliko kutuumiza kiasi hiki
 
raisi wa awamu hii ni majanga kweli kweli………..
 
Imesalimu sasa, hapo unasemaje wewe mropokaji au mzee lomolomo au mzee wa kupepeta domo au wewe domo kaya
 
Hata Wakala mwenye huduma ya Bank hapo ukienda kutuma akaona unashtushwa na makato atakushauri utumie bank upate unafuu....na tafsiri yak ni kuwa Mitandao ya simu Wataisoma namba.
 
Ni swala la muda, hizi Tozo za serikali kwenye miamala makampuni yote ya simu muda si mrefu yatageuka upande wa wananchi, kwani Now mapato yao yanashuka kwa kasi hasa kwenye kipengele cha miamala
 
sijawahi tumia simu banking ila nasikia nao makato yao nao si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…