Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] kipindi chake kuna watu wamekuja mjini hawajui lolote ndio hawa sasa!!..
 
Inawezekana kikwazo ilikuwa ni Waziri mtumbuliwa. Hii imetokea bila kufahamishwa na siku zote tunakuwa bombarded na matangazo ya kuhimiza kamari na kubet. Hongera kwa serikali kukuza uwekezaji.# JMT kazi iendelee.
 
Tigo kifurushi cha siku 3 (1000) kimetoka dakika 100 hadi dakika 45. GB moja hadi 500MB
 
We ndo mimi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…