Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

Tatizo hamsifii vya kutosha " huduma zao" sasa mnataka wafanyeje! Utadhani yananitoka moyoni.
 
Tulishakubaliana kuwa TANZANIA ni kati ya NCHI 5 zenye unafuu wa gharama ya kujiunga na data
 
unachosema ni sahihi mm airtel wamenipandishia kwa kuwa ni mtumiaji mkubwa na nimekuja gundua majuzi baada ya jamaa yangu kujiunga kwa 2000 akapata kifurushi kikubwa mm napata kidogo.acha na mm niwapige chini airtel nashukuru kwa kunifumbua macho.
 
Nilifurahi kwenye heading nikachukia kwenye content
 
Hongera , hata hivyo unashauriwa iurudi nyumbani kumenoga, GB7 kwa shilingi elfu 10 kwa mwezi. TTCL hoyeee!!! Nitadai kamisheni baadaye kutoka TTCL
Tatizo ni mtandao na kasi
 
Huu mtindo wa kupangia siku za kutumia bando nililolipia kwa pesa yangu Ni wakishamba sana
 
TTCL wanalipa vizuri, 1000 wiki GB 1.2 dakika 10
5000 mwezi GB 2.2 dakika 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…