kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba, wakanitumia huo mkataba. Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X, cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote, na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home, mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss, ubabaishaji sitaki.