Kampuni za wahindi zina vituko sana aisee

Kampuni za wahindi zina vituko sana aisee

wahindi wanapitia magumu sana kwa hiki kizazi cha kisasa ule ubepari naona unaelekea tamati.
 
safi kabisa raha ya hii dunia unapata unachostahili nakuombea kiongozi chakwako kije mapema ....
 
Mimi nipo tayari hata wakate nusu mshahara kama service fee na hata bila mkataba nafanya t wala sinashida.

Maisha ya huku mtaani unatamani hata upate chance ya kujitolea tu kwenye taasisi yoyote ili angalu nawe asubuhi utoke huko ndani
 
Mbona husemi ni kampuni gani ama unawaogopa???
 
Back
Top Bottom