Nilishangaa sana siku moja tukitoka dar kwenda mbeya kulikuwa na foleni kali sana kuanzia maili moja mpaka kusikojulikana tukapita njia fulani ya kuchepuka kukazunguka sana tukiwa na abood yetu tukafika sehemu ina muinuko na njia inateleza kutokana na matope mvua ilinyesha gari ikawa inateleza na kuyumba mno mara ikatokea sauli ikatuovertake ikawa inapanda kile kilima kana kwamba inashuka