A
Anonymous
Guest
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji kabla.
Kifurushi kitapoisha ndiyo utaambiwa pia kunakuwa na shida kubwa kwenye maswala ya speed na pia Customer Service tunayopewa.
Naelewa kuna changamoto zitatokea lakini sasa unakuta wanasema tu wanalishughulikia na hawalifanyii kazi, mteja anaishia kupoteza hela yake bure bila kupata service yoyote.
Mfano ambao nimepitia ni Vodacom na Airtel, hata ukienda kwenye comments za pages zao za Instagram utakuta watu wanalalamika, wateja tunatoa hela ila yaani wanaishia kula tu hela yetu bure na ukiwapigia ndiyo wanakupa story hizohizo sasa inakuwa siyo fair kabisa maana hawawajibishwi.
Wanaendelea kufanya kazi kama kawaida tu, sasa hii hali itaendelea hadi lini? Kweli Tanzania inashindwa kuwa na Telecom Companies ambazo zinatoa services ambazo zinaendana na kiasi cha hela mteja anayotoa?
Pia najua hii shida sio mimi tu, bali inakuta watu wengi hapa Tanzania ni muda they are held accountable kwa services wanazo-provide!