A
Fiber wana fair Usage policyUnga fiber, weka voda, kama matumizi yako ni zaidi ya 1TB.
Fair usage ipo popote Duniani Hasa kwa mobile data ambayo ina limited caacity
Wanazo ndio ila sio 1TB anayosema Mtoa mada, unaweza Tumia 1TB kwa siku na wala wasipunguze speed.Fiber wana fair Usage policy
Mwarobaini ni fiber ya TTCL tuShida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji kabla.
Kifurushi kitapoisha ndiyo utaambiwa pia kunakuwa na shida kubwa kwenye maswala ya speed na pia Customer Service tunayopewa.
Naelewa kuna changamoto zitatokea lakini sasa unakuta wanasema tu wanalishughulikia na hawalifanyii kazi, mteja anaishia kupoteza hela yake bure bila kupata service yoyote.
Mfano ambao nimepitia ni Vodacom na Airtel, hata ukienda kwenye comments za pages zao za Instagram utakuta watu wanalalamika, wateja tunatoa hela ila yaani wanaishia kula tu hela yetu bure na ukiwapigia ndiyo wanakupa story hizohizo sasa inakuwa siyo fair kabisa maana hawawajibishwi.
Wanaendelea kufanya kazi kama kawaida tu, sasa hii hali itaendelea hadi lini? Kweli Tanzania inashindwa kuwa na Telecom Companies ambazo zinatoa services ambazo zinaendana na kiasi cha hela mteja anayotoa?
Pia najua hii shida sio mimi tu, bali inakuta watu wengi hapa Tanzania ni muda they are held accountable kwa services wanazo-provide!
Speed yao ipo stable?Mwarobaini ni fiber ya TTCL tu
Hatari mkuu. Inatisha, tatizo ni kufikika tu eneo lako, kama waya zao zimepita hata usijiulize, vuta.Speed yao ipo stable?
Barabarani ninaziona cable zao, na kuna nyumba mtaa wa pili nimeona nyaya zao.Hatari mkuu. Inatisha, tatizo ni kufikika tu eneo lako, kama waya zao zimepita hata usijiulize, vuta.
Lipia tangazo 😁Habari ya mjini ni kampuni ya `Habari Wi-fi'hakuna kustack stack,ukiangalia muvi kama ipo kny flash vile
Mi ni mteja wao tu sina uhusiano na kampuni ila natoa ushuhuda wa nachokiona nikifananisha na makampuni mengine hasa ya mitandao ya simuLipia tangazo 😁
Sasa ni ushuhuda gani hasa uliotoa? Hujasema kampuni ya fiber au ina router, gharama zao n.k so bora tu ungekaa kimya pia.Mi ni mteja wao tu sina uhusiano na kampuni ila natoa ushuhuda wa nachokiona nikifananisha na makampuni mengine hasa ya mitandao ya simu
We endelea tu kutumia unachotumia,werevu nimeshawapa maelekezo,wajuaji nawaacha na ujuaji waoSasa ni ushuhuda gani hasa uliotoa? Hujasema kampuni ya fiber au ina router, gharama zao n.k so bora tu ungekaa kimya pia.
Kwanini siku hizi Vodacom network inakatakataUnga fiber, weka voda, kama matumizi yako ni zaidi ya 1TB.
Fair usage ipo popote Duniani Hasa kwa mobile data ambayo ina limited caacity
Labda sehemu yako mkuu ama kifaa etc, umejaribu kubadili baina ya 3G/4G ama 5G uone kama ni tatizo la mnara?Kwanini siku hizi Vodacom network inakatakata
Hapa ninapokaa mnara wa Vodacom upo nje hapo kabisa ila network sometimes inakua na shida hata sielewi shida inakua nini, yeah hua inapanda na kushuka zile bars zote zipo full muda wote ila muda fulani network inakata mara inazima yenyewe tu sasa sijui shida itakua nini mpaka natamani km niwapigie hiviLabda sehemu yako mkuu ama kifaa etc, umejaribu kubadili baina ya 3G/4G ama 5G uone kama ni tatizo la mnara?