Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Yako hadi kina mwijaku, baba level na Juma Lokole wamejaa.

Yako hata kiande wa mtaani ili mradi ajue kuongea maneno mawili basi anafaa

Yako Haina hata board ya kuhakikisha ubora.

Yako kila kilaza anaweza soma ili mradi tu sura na kalio anavyo.

Yako sio professional ila ni semi, sawasawa na Mwalimu tu.
 
Utumbo kama huu ndo wakunifkirisha mm.
 
Utter Nonsense.
 
Hatari sana
 
Facts za kutosha👏👏👏 huu ujinga upo pia uhamiaji arusha
 
Unatoka nyumbani unaratiba ya kupita uhamiaji then kuendelea na mishe za kila siku umebeba begi ndani lina vifaa vya kazi ( laptop) unafika pale unakutakana na tangazo kwamba mabegi haturuhusu (mbona mikoba mnakubali pumbavu) inabidi utoke nje utafute hifadhi ya begi nafika kwenye hifadhi naambiwa unakitu cha thamani kama kipo kitoe shika mkononi(hapa wanaotoa hifadhi hawataki mamlalamiko ya aina yoyote baadae) basi unaingia ndani umekumbatia documents , laptop na chaja. Huu ni upumbavu mkubwa kama ni sababu za kiusalama zile mashine za kukagua pale nje za kazi gani

Sijui kama wamebadilika katika hilo kwa sasa,

Nyongeza: ni upumbavu kulazimisha kuomba passport inabidi uwe na safari, u asema dhumuni ni kwenda kutembea unaombwa mualiko ? Huu ni ujinga mkubwa kwamba mimi nimepata hela zangu za madafu nataka nikastarehe niombwe mualiko kwani ninaundugu na mataifa mengine?
Unakaza kibishi sina mtu anayenifahamu mimi nakwenda kutembea(utalii) unaambiwa haiwezekani? Hawa ni watumishi wa umma wapo ofisi wanatoa majibu ya kijinga kama haya


Kinachofata tunafoji hizo requirements ndo wanapitisha hii idara ni jipu


Nb:sjajua hali ya sasa ila kwa mwenendo wao naomani bado hali ipo vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…