MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Yako hadi kina mwijaku, baba level na Juma Lokole wamejaa.Unaidharau Kozi ya Uandishi wa Habari na hapo hapo Kutwa unasikiliza BBC Dira ya Dunia, Amka na BBB, DW, Unatizama Al Jazeera, CNN, ITV na Azam Tv huku Ukisoma Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Habari Leo na hapo hapo ukiwa ni Bingwa wa kutizama Mpira hasa EPL na nyinginezo.
Je, bila Uandishi wa Habari vyote hivi Ungevisikiliza na Kuvitizama? Uingereza ( nchi iliyokutawala na kujitahidi Kukupunguzia Ujinga ulionao ) Watu ambao Wanaongoza kwa Kulipwa vizuri Mishahara ni Waandishi wa Habari kisha wanafuatia Manesi.
Na usisahau katika nchi yetu ( Tanzania ) ukiondoa Nguzo Kuu andamizi Tatu za Executive, Judiciary and Parliament na yangu ya Media nayo imo ikiwa ni ya Nne. Je, Wewe Fani ( Profession ) yako ni Nguzo ( Pillar ) namba ngapi nchini?
Pumbavu.
Yako hata kiande wa mtaani ili mradi ajue kuongea maneno mawili basi anafaa
Yako Haina hata board ya kuhakikisha ubora.
Yako kila kilaza anaweza soma ili mradi tu sura na kalio anavyo.
Yako sio professional ila ni semi, sawasawa na Mwalimu tu.