Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Unaidharau Kozi ya Uandishi wa Habari na hapo hapo Kutwa unasikiliza BBC Dira ya Dunia, Amka na BBB, DW, Unatizama Al Jazeera, CNN, ITV na Azam Tv huku Ukisoma Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Habari Leo na hapo hapo ukiwa ni Bingwa wa kutizama Mpira hasa EPL na nyinginezo.

Je, bila Uandishi wa Habari vyote hivi Ungevisikiliza na Kuvitizama? Uingereza ( nchi iliyokutawala na kujitahidi Kukupunguzia Ujinga ulionao ) Watu ambao Wanaongoza kwa Kulipwa vizuri Mishahara ni Waandishi wa Habari kisha wanafuatia Manesi.

Na usisahau katika nchi yetu ( Tanzania ) ukiondoa Nguzo Kuu andamizi Tatu za Executive, Judiciary and Parliament na yangu ya Media nayo imo ikiwa ni ya Nne. Je, Wewe Fani ( Profession ) yako ni Nguzo ( Pillar ) namba ngapi nchini?

Pumbavu.
Yako hadi kina mwijaku, baba level na Juma Lokole wamejaa.

Yako hata kiande wa mtaani ili mradi ajue kuongea maneno mawili basi anafaa

Yako Haina hata board ya kuhakikisha ubora.

Yako kila kilaza anaweza soma ili mradi tu sura na kalio anavyo.

Yako sio professional ila ni semi, sawasawa na Mwalimu tu.
 
Pamoja na Kunichukia kote GENTAMYCINE hapa JamiiForums na Kutwa Kunitukana na Kunidhalilisha kwa kila namna huku Mkinidharau lakini bado tu Kila Siku ( 24/7 ) hamuachi Kufungua Threads zangu na Kuzichangia vile vile na kuacha kabisa Kuwafuatilia wale mnaowaona ni bora zaidi yangu hapa Jamvini JamiiForums.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba na Nyota Kali ( Natural Charm ) huku Ukinibariki na Shani ( Tunu ) zangu Kuu Nne Tukuka za "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" zinazowatesa Wapumbavu na Watu wanaoteswa na Stress za Msoto wa Majsha wanaoupitia sasa wakidhani Kunichukia Kwao ndiyo Nafuu Kwao wakati bado cha Moto wanakiona na naomba uendelee Kuwanyoosha hadi Umauti utakapowakuta.
Utumbo kama huu ndo wakunifkirisha mm.
 
Yako hadi kina mwijaku, baba level na Juma Lokole wamejaa.

Yako hata kiande wa mtaani ili mradi ajue kuongea maneno mawili basi anafaa

Yako Haina hata board ya kuhakikisha ubora.

Yako kila kilaza anaweza soma ili mradi tu sura na kalio anavyo.

Yako sio professional ila ni semi, sawasawa na Mwalimu tu.
Utter Nonsense.
 
Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.

Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.

Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?

Shenzi sana!

Hatari sana
 
Facts za kutosha👏👏👏 huu ujinga upo pia uhamiaji arusha
 
Unatoka nyumbani unaratiba ya kupita uhamiaji then kuendelea na mishe za kila siku umebeba begi ndani lina vifaa vya kazi ( laptop) unafika pale unakutakana na tangazo kwamba mabegi haturuhusu (mbona mikoba mnakubali pumbavu) inabidi utoke nje utafute hifadhi ya begi nafika kwenye hifadhi naambiwa unakitu cha thamani kama kipo kitoe shika mkononi(hapa wanaotoa hifadhi hawataki mamlalamiko ya aina yoyote baadae) basi unaingia ndani umekumbatia documents , laptop na chaja. Huu ni upumbavu mkubwa kama ni sababu za kiusalama zile mashine za kukagua pale nje za kazi gani

Sijui kama wamebadilika katika hilo kwa sasa,

Nyongeza: ni upumbavu kulazimisha kuomba passport inabidi uwe na safari, u asema dhumuni ni kwenda kutembea unaombwa mualiko ? Huu ni ujinga mkubwa kwamba mimi nimepata hela zangu za madafu nataka nikastarehe niombwe mualiko kwani ninaundugu na mataifa mengine?
Unakaza kibishi sina mtu anayenifahamu mimi nakwenda kutembea(utalii) unaambiwa haiwezekani? Hawa ni watumishi wa umma wapo ofisi wanatoa majibu ya kijinga kama haya

Kinachofata tunafoji hizo requirements ndo wanapitisha hii idara ni jipu

Nb:sjajua hali ya sasa ila kwa mwenendo wao naomani bado hali ipo vilevile
 
Back
Top Bottom