KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Na kuwa na passport ni haki ya kila raia. Wanafanya urasimu na hawazitoi bure. 150k sio pesa ndogo.Bongo wanaona kuwa na passport ni anasa au ni kwa ajili ya wa watu fulani tu, akili zetu zimelala sana
Na utailipa kila baada ya miaka 10!!
Ujinga mwingine ni endapo umepoteza itakugharimu 500k, kupata nyingine.
Na iki expire wanataka uanze utaratibu upya. longolongo