Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Labda mganga wa kienyeji[emoji2][emoji1787]Ukiona mtu anajiamini Sana unatakiwa ushtuke anajiamini nini.
Shtuka utaibiwa hii ni dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mganga wa kienyeji[emoji2][emoji1787]Ukiona mtu anajiamini Sana unatakiwa ushtuke anajiamini nini.
Shtuka utaibiwa hii ni dunia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee hizi comments wa wakuu zinafurahisha mnoooo daah siku yangu inaenda kuisha vzuriii
Mkwara kiwango cha chekechea.....hauna ujanja wa kumdhibiti mkeo....naona unajifariji hapaSio rahisi hivyo Mkuu.
Sijaokota mwanamke Mimi, nimechukua kiwandani.
Kama ningekuwa nimemuokota ningeungana na wewe.
Ipo Raha ya kuoa Bikra acheni tuu
😂😂😂😂😂😂😂Itabidi nmle mkeo .napenda sana kula sehemu hatari hatari
Mchepuko keshajifungua?Ujinga mtupu sijui kimenisibu nini mpaka nomefungua
Hii ndio JF raha tupu[emoji23][emoji23][emoji23]Boss kwa swaga hizi utakuwa unagongewa sana trust me. Nilifikiri mkeo alikwambia kwamba jamaa anamtongoza, kumbe wewe ndio ulifumania mkonyezo. Huwezi jua labda almkonyeza kumkumbusha asisahau ahadi ya kukutana tena loji kama kawaida yao.
Unagongewa ww boya acha maneno mengi kutuaminishaHabari Wakuu!
Moja Kwa moja kwenye Uzi!
Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na Mke wangu, kana mchekea chekea,
Kama mshobokea, na kujifanya kana-Care. Sasa hakakujua kanadili na Jokajeusi lisilo na huruma, lenye hila za kiwango cha lami.
Nili
Umemkagua kama marinda yapo?Sio rahisi hivyo Mkuu.
Sijaokota mwanamke Mimi, nimechukua kiwandani.
Kama ningekuwa nimemuokota ningeungana na wewe.
Ipo Raha ya kuoa Bikra acheni tuu
Ushakula kina Mobetto na mastaa kibao we jamaa mastaMi wa kijijini mzee, nampiga wife wako machine mpaka anazima, yani mi nikimtaka mwanamke simkosi awe mke wa nani walah, january nakuja Dar lazima nimtanue mkeo, sitaki tujuane we nipe namba ya mkeo. Ndo utajua hujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oneni na huyu fala mwingine .....mna brag ufala tuHongera sana una roho mbaya kama yangu. Kuna zoba alipigia simu mke wangu saa 4 ya usiku akaanza tongoza. Jamaa anaishi Musoma kikazi na yeye kaoa. Nilichofanya nilimuuliza wife huyo nani akanijibu fulani.
Nilitumia njia za kigaidi nikazama mitandaoni kumtafuta, nikafika Meta nikacheck profile yake nikaona ana mke, nikamcheck mkewe tukaanza chart haikupita mwezi nikamvuta Dar nikaja kumuulia mtaani kwetu. Kwa sababu yeye alikuwa ajui nini kinachoendelea wala hakupinga kupiga picha za mahaba. Kumpa onyo nikamtumia yule bwege picha moja ya mkewe akiwa peke yake kitandani.
Nilichoshangaa jamaa kawa mkali kama pilipili, nikacheka saaaana.