KAMUSI: Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri

KAMUSI: Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
KAMUSI

"Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na siku zijazo" - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Asante Mama kwa imani hii kwetu vijana, hakika mapenzi yako kwa vijana yanakwenda sambamba na vitendo vya serikali ya awamu ya 6 kwa vijana. Miradi yote ya Maendeleo inagusa vijana, Mikopo ya Halmashauri, Mradi wa Kilimo wa BBT, Vyuo vya Ufundi na Ruzuku ya Mbolea. Asante Mhe. Rais, vijana Hatukudai.

Tufuatilie kupitia kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii kwa jina la @kamusi_halisi

#WikiYaVijana
#TukutaneMwanza
#KamusiYaMaendeleo
 

Attachments

  • VID-20241010-WA1450(1).mp4
    8.8 MB
Back
Top Bottom