Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Sawa abamimi old moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa abamimi old moshi
Kuna ndege mnyama na ndege eroplenUmejitahidi, Ila kuna mengine umechapia, Mapore-makande?? Wamarangu hawana asili na makande hivyo hawana kichagga cha makande, wao Wana ngararimo, Mahindi hupikwa mazima yanatiwa magadi yanachanganywa na maharage . Kisagha- kibuyu, ichele- sijui ulimaanisha nini, kileye-ndege (si ndekye) nakupa 75%pass. Umejitahidi Ila ongeza bidii.
Nina ratiba siku sio nyingi ntakuwa huko Insha'AllahTarakea lini
Habari nakuona damu yangu ya Urassa pia 😂Hiiiii nimeikunda 😂😂😂 bado cha rombo mkuu mashati na useri sasa
Haitusaidii kitu, naona ni utapeli tu mwingine wa KichaggaAichi—Anajua
iachikyia--Kujenga
Ichele—Kichaga
Ichondi- --- Kondoo
Iikyelyia—Kuogelea
Ikawilyia—Kupalilia
Ilyingoi---Jogoo
inyi—Mimi
Ipalipali- --Bahari
Ipore---Yai
Irikoso—Taji
Isewa—Kibuyu
Itukuo—Kushangaa
Iwuwu—Kuona makengeza
Iyesho---- Majaribu
Kiamba---Shamba
Kyasaka—Ugenini (Mswahili)
Kyiaatyi—nafasi
Kyo_kyimaryu—Ndiyo sababu
Kyuwere—Kumebakia nafasi ndugu
Lakucha—Usiku mwema
Linyala—Kuzarau
Maakulembecherye—Unafiki
Mapore—Makande
Mapuchi—Mawingu
Masaanga—Mataifa
Matu matu—Tafadhali
Mbuya---Rafiki
Mchola--Kichochoro
Mkuuchu—Kiburi
Mkuuma---Upepo
Mlenya—Mchanga
mmesa—Adui Mtiima—Giza nono
Mmmbaryi—Jua
Momrasa—Jirani
Momu- hori la ng’ombe
Msasariko—Masazo
Msotsa---Kushuka
Na-Ngoseraa—Na zaidi
Ndekye—Ndege
Nduwa-- Dimbwi
Ngambura--kipande cha nyama
Njoonyi—Ngozi
Nyi Kryirumi—Ni Utukufu
ote=hapana
Parapara—barabara
Pfinya—Nguvu
Rumbu—Mdomo
Sera’—Mgomba mchanga
Shira’—vita
Tao—Ng’ombe jike
Tikira- sogea
ukou=Jana
Ulakuso—Tafadhali
Ulowo—Habari
Unga—msoo
Unyamari’—Dhambi
Ushanguny—Usoni
Walutsa—Geuza
Wanda—chini
Mungu atujalie uzimaNina ratiba siku sio nyingi ntakuwa huko Insha'Allah
SafiHabari nakuona damu yangu ya Urassa pia 😂
Unataka Cha Rombo mbona nime ktype humu sana
Kipo ndiyo mkuuSafi
Kumbe kipo hapa sjapitia zoote
HayauKipo ndiyo mkuu
Ete mwandu foo,Hayau
Honde misaEte mwandu foo,