Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Kuna samaki anaitwa Mtepa kwa Kingereza Ribbon Fish muongezee kwenye orodha
IMG_20201030_114855_642.jpg
 
Ndugu ndo wanaita hivyo mi mwenyewe nilishangaa! Utanihukumu bure tu Ila huyo samaki ndugu yupo!
Kuna majina mengine ya samaki ambayo hutumika sehemu za Kanda ya Ziwa lakini watu wa Pwani wakasema ni matusi. Yupo samaki anaitwa Nembe. Watu wa Pwani kwa kuchelea kutamka jina hilo wakawaita Matusi ya Mwanza.
 
Kuna aina nyingi za samaki toka Ziwa Victoria ambao ama wamepotea ama upatikanaji wake umekuwa wa nadra. Baadhi yao ni Domodomo, Soga, Nkuyu, Ghombhengobhe na wengineo ambao nikikumbuka majina yao nitayaleta hapa ili kuongeza majina ya samaki tulio nao.
 
Domodomo ana kimdomo chembamba na kirefu
 
Kibua kwa Kingereza mackerel fish
Mackerell-Fish-711x400.jpg
 
Changudoa wa bunju analala pono hatari ukiwa ulimnywea mchuzi wa pweza
 
Back
Top Bottom