Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Bujibuji kuna hawa samaki wanaitwa tasi, ndo wale wana mwiba mmoja tu katikati ,?
1618313517867.png
 
20220108_164212.jpg
20220108_164152.jpg

Huyu anaitwa Kikande, wajuzi wa samaki humuita sharifu.
Samaki huyu ana ngozi ngumu na huwezi kumla hadi umchune ngozi yake.

Samaki huyu ni mtamu sana na ni mnofu mtupu
 
Back
Top Bottom