Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Mkuu Bujibuji ... Kuna huyu samaki anaitwa Songoro .... wanatumika Sana kwenye mishikaki ya samaki ... No mtamu Sana akichomwa
 
Blobfish nimeshindwa mtofautisha na trump
 

Huyu anaitwa Kikande, wajuzi wa samaki humuita sharifu.
Samaki huyu ana ngozi ngumu na huwezi kumla hadi umchune ngozi yake.

Samaki huyu ni mtamu sana na ni mnofu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…