Kamusi ya majina ya samaki na picha zao


Huyu samaki anaitwa Ningu na sehemu nyingine huitwa Mberere. Ni samaki mwenye miiba mingi kwenye minofu yake.

Miiba yake imekaa kama herufi Y, ni mtamu sana, ila kwa wakazi wa mwambao wa ziwa Victoria, samaki hawa kwa sasa wamepotea sana, kwani ni chakula pendwa cha sangara.
 
Samaki hawa wanaitwa sulusulu, hupatikanika mabwawani na mtoni, hasa kipindi cha mvua, ni watamu sana
 
Ningu sio mberere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…