Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Naunga mkono hojaUkiwa na tumbo kubwa pamoja na bichwa kubwa kuliko mwili lazima uwe kama punguani hivi
Cuba hawazalishi gasi. Sisi tuna gasi na inazalishwa.....endelea...Cuba ni nchi ya kijamaa. Upo uwezekano wa gas kuwa cheaper kwa sababu ya government subsidies!
Sijui. Labda atajitokeza down the road!Kwani mkuu hakuna member anayeishi Cuba atupe bei ya mtungi wa gesi 20Kg
Memba anayeishi au aliyewahi ishi Cuba anatafutwa huku🤔Kwani mkuu hakuna member anayeishi Cuba atupe bei ya mtungi wa gesi 20Kg
Mjadala kuhusu gesi ya cuba lazima uanze na litereture review ...msomi unataka kuikimbia hoja?Kulikuwa hakuna sababu ya kulinganisha Bei ya Cuba na Tanzania huko ni kutoana kwenye reli na kuacha kuongelea issue ya Maana..., Na Issue ya maana ni hii Kwanini tunahamasisha kutumia fedha za kigeni katika Kupikia badala ya Nishati ambayo tunayo ?!! Gesi Sio yetu na tunanunua na ukisema tushushe bei ni kutumia Kodi zetu ili kutajirisha wengine....
Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...www.jamiiforums.com
Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu. Nishati zilizopo: Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...www.jamiiforums.com
Kwanini asiende kuhakiki kuhusu wahuni kukiteka chama hajataka kulifuatilia hilo kaamua kufuatilia jambo lisilo na tijaMjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
waliosoma cuba tutambuane humuMemba anayeishi au aliyewahi ishi Cuba anatafutwa huku🤔
Kama uzalishaji uko mikononi mwa private investors, you know what they do…Cuba hawazalishi gasi. Sisi tuna gasi na inazalishwa.....endelea...
Tafsiri ya hiki anachokifanya sasa huyu Ezekiel Kumwaga (Mwandishi wa habari) ni kuwa amekubali kuwa ile taarifa yake ya mwanzo kumpinga Balozi Humphrey Polepole ilikuwa ni uongo, ni taarifa ambazo si za kweli, za kuokoteza mitandaoni tu na zisizo na uthibitisho...Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Waliosoma Cuba ngoja waje watupe bei halisiMemba anayeishi au aliyewahi ishi Cuba anatafutwa huku🤔
Huko Cuba mlikuwa mnanunua bei Gani gesi?waliosoma cuba tutambuane humu
kaamua kukomaa na hiyo kwani ulikuwepoo??Katika point zote za polepole, Kwahy jamaa ameona afuatilie mtungi wa gas tuu 🗑️