Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Amekwenda ubalozini ni si kwamba amepanda ndege kwenda Cuba,tulizeni vichwa vyenu.
Mtandao wa wahuniNani amefadhili safari za kimwagaji kwenda Cuba kuchunguza bei ya gesi?
Huyu bwana ni miongoni mwa waandishi ambao anaweza toka nyumbani kwenda ukumbi maelezo kusubilia habari Ili Hali jirani yake,kamwacha anateketea kwa moto, atadai hiyo sio HABARI.
Je sio rostamu azizi?
Kwa hali ilivyo, na kwakuwa alianza na kupinga kabla yakufanya utafiti, hata akikuta bei ya ges ni sh 2000 hawezi kuwa mkweli.Bado hamjasema, si mlitaka ufafiti mb. Waaa nyie
ChawachawaniNani amefadhili safari za kimwagaji kwenda Cuba kuchunguza bei ya gesi?
Huyu bwana ni miongoni mwa waandishi ambao anaweza toka nyumbani kwenda ukumbi maelezo kusubilia habari Ili Hali jirani yake,kamwacha anateketea kwa moto, atadai hiyo sio HABARI.
Je sio rostamu azizi?
Watanzania msikubali kutolewa kwenye mjadala muhimu na huyu kilaza. Hapa mjadala ni rais Samia anastaili kugombea urais ktk katiba ya CCM na uteuzi wake ulifuata sheria. Hapa mjadala mkuu sio mambo ya gesi.Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Wewe funza kaa kimyaMakini wapi? Lini?
Ujue mtu akijinenepea hovyo mafuta hupanda kwenye Ubongo uwezo wa kufikiri unapotea
Kama hakuna case study inamaana unaandika vitu vya kufikirika. Hakuna proof popote pale kuwa vinawezekanika.Moja unapoongelea kufanikiwa unamaanisha nini ?
Unaweza kuuliza mtu aliyezaliwa miaka 20 iliyopita watu walikuwa wanaogopa Gesi kwamba zitalipuka; watu walikuwa wana majiko ya umeme ya coil na plate (very inefficient); watu walikuwa wanapikia mpaka oven watu walikuwa wana taa za bulb ambazo zilikuwa ni heater kuliko taa (100watts) yaani hadi watu walizitumia kufugia kuku; ila watu walikuwa nazo nje wanaziwasha masaa yote usiku bila kuogopa gharama (sababu gharama ilikuwa ndogo per Unit); Na huwezi kusema hatuna Capacity sababu baada ya Bwawa capacity ime more than double.
Kwa point zangu hapo juu utagundua jambo moja nalo ni kwamba gharama ya umeme per unit zimepanda maradufu na sio rafiki tena..., Ila unajua jambo moja ?!!! Pamoja na kupanda huko kwa vijijini (unit moja Tshs 100/=) bado ni bei ndogo kuliko gesi kwa dakika hii na sasa hivi vyombo vya umeme ni more efficient sasa kwanini tuwadanganye wanavijiji kwa kuwapa majiko ya gesi (Achana na Case Study hio ni fact, na ukifanya conversion ya bei za dakika hii kwa umeme ni rahisi maradufu)
![]()
Gharama ya Gesi Vs Umeme katika Kupikia kwa Bei za Sasa za Tanzania
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi.... 1kg ya Gesi = 13.6kwh (units) Kwenye...www.jamiiforums.com
![]()
Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...www.jamiiforums.com
Sasa nikija kwenye swali lako la msingi ni nchi gani imefanikiwa katika kupikia umeme kama nishati kuu; Na mimi takuuliza ni nchi gani ambayo ina vyanzo vya kuweza kuzalisha umeme kama Tanzania (gesi, maji, upepo jua n.k.) ? Kumbuka hio Gesi wewe hauna; kwahio sitawalaumu nchi za Kiarabu au tuseme Algeria hata wakitumia gesi kuendeshea magari (sababu wanayo lukuki) sisi hatuna hio LPG.... Moral of the Story usiangalie nani amefanya nini wakati nyenzo alizonazo mwenzako wewe hauna au yeye hana....
Tuanzie Tulipo, Tutumie Tulichonacho na Tufanye Tunachoweza - Logikos JF
Case Study maana yake nini ? Au unajua maana ya Case Study ?Kama hakuna case study inamaana unaandika vitu vya kufikirika. Hakuna proof popote pale kuwa vinawezekanika.