Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.

Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.

Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.

Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.

Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.

“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.

Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Natamani huyu ndugu Kamwaga aje afanye hiki hiki anachikifanya kwa ustadi mkubwa afike pale tume ya uchaguzi aulize kwanini baiskeli na Pikipiki zenye picha za mgombea wa ccm zilifikishwa mapema (na maeneo mengine wanashushiwa shehena zaidi ya mara 2)
 
Haya Yote ni maisha tu bro.. jamaa nafanya nae kazi ni kama zambarau zitwo tu
 
Pole pole anaweza kua sahihi ukigoogle data za mwaka Jana mtungi wa kg45 uliuzwa kwa peson 31.50 Cuba sawa na 3286.15TZS, hata km gharama imepanda kwa mtungi wa kg 10-15 gharama haiwezi zidi elfu 10
Cuba huduma ya Gesi ni bure kwa wananchi hiyo 2000 ni kuchangia gharama tu
 
Kwanini Ubishane na MTU aliyekaa uko??
Njaa kaenda kuchukua posho kwa Rostam kisha kajitoa fahamu njaa mbaya sana
Huyu jamaa aliwahi kwenda kuangalia wakulima wanavyoteswa na bei za hao fisiem na wanunuzi ni hao hao fisiem na mashamba ya miwa anajua kilio kilichopelekwa hukueo na mtandao kushusha bei!!?Hapa ndio ujue tuna waandishi wa fisiem
Ezekiel ni Mwandishi kanjanja njaa mwizi kaamua kujitoa fahamu awe chawaRostam ale posho haramu za kishetani, huko kwenye kero za kweli hawafiki, wao kazi yao ni uchawa tu
 
Kamwaga ndio mnamwita bonge nyanya, mara tumbo lake limejaa gesi
 
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.

Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.

Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.

Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.

Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.

“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.

Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Nadhani huyo Kamwaga atakuja na blah blah zake zile zile ili kutafuta ushindi wa hoja.

Hoja ambazo si msaada kwa raia bali kwa watu wanaomlipa kufanya hivyo, ni lazima tu hapo atashupaza shingo na kukaza fuvu.
 
Kupitia hili jukwaa la watu makini analo la kujifunza na endapo atapitia comments za humu atajitafakari sana na huenda akaogopa kutoa mrejesho kwani atazidi kudharaulika
 
Natamani huyu ndugu Kamwaga aje afanye hiki hiki anachikifanya kwa ustadi mkubwa afike pale tume ya uchaguzi aulize kwanini baiskeli na Pikipiki zenye picha za mgombea wa ccm zilifikishwa mapema (na maeneo mengine wanashushiwa shehena zaidi ya mara 2)
Njaa yake inakikomo
 
Nani amefadhili safari za kimwagaji kwenda Cuba kuchunguza bei ya gesi?

Huyu bwana ni miongoni mwa waandishi ambao anaweza toka nyumbani kwenda ukumbi maelezo kusubilia habari Ili Hali jirani yake,kamwacha anateketea kwa moto, atadai hiyo sio HABARI.

Je sio rostamu azizi?
 
Bado hamjasema, si mlitaka ufafiti mb. Waaa nyie
 
Back
Top Bottom