kagunguli parish
Member
- Sep 9, 2024
- 83
- 110
ProjectHuyu jamaa ni mpuz
Anapenda kujikombakomba
Ova
ProjectHuyu jamaa ni mpuz
Anapenda kujikombakomba
Ova
Ongezea pia :Kwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
Kamwaga ni kijana wa wana mtandao kwa hiyo tunajua alizoea kutumia kalamu miaka ile kwenye magazeti ya Rostam sasa anachoshidwa kuelewa huwezi kutumia jia ile ile miaka yote kufanikisha propaganda atafute njia nyingine bwana tumbo tumbo KamwagaLa gas likiwa uwongo basi tutajua na la magu kupuliziwa sumu kiwandani morogoro na kufa yeye ni uwongo pia,kwa hiyo tutampuuza polepole
Piped Natural Gas ni best case scenario ila kwa nchi kama yetu ni Piped Dream; nchi yenye nyumba squatter, nchi ambayo kutengeneza tu uchochoro kufikia kila nyumba umetushinda kuweza kuweka miundombinu ya kufikia kila Kaya na Slums nadhani ni Project kubwa ambayo hatuwezi kuifanya kwa sasa...; Pili itabidi apatikane muwekezaji ili asimamie na mwisho wa siku apate faida hence kufanya bei ipande....Mpango wa kusambaza mabomba ya gesi majumbani ulikufia wapi??
Ubalozi upo chini ya nani,unamtumikia nani Kwa faida ya Nini. Sisi tupo na Polepole hata msemeje,sham govooMjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Kwa hiyo mwanzoni alitoa taarifa za uongo?Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Mtu kufanya research na kuja na kitu tangible ni mpuuzi!? Sawa. Kwahiyo wewe mtu akisema tu kama Polepole bila ushahidi ni mjanja? Nimekusoma!!Huyu jamaa ni mpuz
Anapenda kujikombakomba
Ova
Kwenye utekaji mishavu yote chini hatuoni kufuatilia kuuliza huko kwabwenye mamlakaMjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Anaitaka nafasi aliyoikataa Slowslow na sii vinginevyo,ikiwa nimekosea anatenda ya kusaka nyendo za slowslow!Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Sii tiketi ya kuukwaa ubalozi alioutelekeza slowslowMjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.