babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kaenda labda kuwashauri wapandishe bei huko.
Tumbo kubwa akili za mtoto darasa la pili
Tumbo kubwa akili za mtoto darasa la pili
YES KUNA RUZUKU NDO MAANA BEI IPO CHINICuba ni nchi ya kijamaa. Upo uwezekano wa gas kuwa cheaper kwa sababu ya government subsidies!
Acha abeep tu polepole atakuja na file lake alivyowatia mimba wanafunzi kwenye chuo chake kwa kukosa AdaAnapambania uteuzi
Jipige wewe mwenyewe kwani ndiyo mjinga wa mwishoPiga kabisa huyo huyo mjinga Pole pole
Aende pia kuhoji Tanganyika itapata lini uhuru wake ili muungano ufe na Tanganyika kuondokana na Kaburu mkoloni Dikteta toka ZanzibarKwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
Pole pole ni takatakaJipige wewe mwenyewe kwani ndiyo mjinga wa mwisho
Aende akahoji mkataba wa DP world na aenda nyumbani kwa Angela kiziga kuhoji tuhuma za wizi zinazomkabiliMjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Kama wewe ulivyo takataka?Pole pole ni takataka
Mara zote unene ukizidi ubongo hujaa mafuta na uwezo wa kufikiri kupungua ndiyo maana madaktari wanahimiza mazoeziNaunga mkono hoja
Ametumwa Rostam Azizi wa Taifa Gas😡Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.
Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.
Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.
Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.
“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Gesi ni kitu cha msingi ndiyo kwani inatumika chakula muhimu kwa uhai wa mwanadamu, Cuba wao Gesi ni sehemu ya huduma toka Serikali kuu, wananchi huchangia kiasi tu, njia ya muongo ni fupi mbona ccm ina uongo miaka 65 Nchi haina maendeleo? Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema kuwalea kuwahudumia chauma ubwabwa, ni kubwa kuliko inayotumika kuleta maendeleo, kazi yenu kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo chadema kuiba pesa za walipa kodi kuwakumbatia Rostam Aziz Angela kiziga na magenge yao wezi wa Rasilimali za Nchi,Njia ya muongo ni fupi
Alibugi sana stepu kuingiza mambo ya uchumi wakati yeye ni kilaza aliesomea kivukoni chuo cha vilaza...
Alitakiwa abaki na upupu wake wa kifo cha jiwe kwa sababu hakuna anaeweza kuthibitisha uongo wake...
Sasa hapa kwenye uchumi ndio itaonyesha ukichwa pumbu wake, ila kwa kuwa nchi imejaa mambulula, muda si mrefu watahamisha magoli kuwa umeona gesi ndio kitu cha msingi, wakati wiki nzima bei ya gesi ya kyuba ilikuwa ndio bango linaloshikiliwa......
Atakuwa chawarostam AzizAmetumwa Rostam Azizi wa Taifa Gas😡
Ha ha ha mara nyingi mtu akinenepa sana mafuta hujaa kwenye ubongo uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana matokeo yake anakuwa mbea mbea msengenyaji mfitini na mambo ya hovyoKaenda labda kuwashauri wapandishe bei huko.
Tumbo kubwa akili za mtoto darasa la pili
Itakuwa af 3Kwahiyo hapo ubalozini wamesemaje, ni elf 2 au laki 2