Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

angekweq pipa aende Cuba hapo angeonekana wa anatoa majib yenye maana ila kwenda ubalozin tena kipindi hiki hapana kwel
 
Akitoka apo ubalozini aende na mwanza zile taarifa za yule chui ni za kweli??
 
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.

Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.

Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.

Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.

Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.

“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.

Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747

Mjinga mjinga njia rahisi ni kuwatafuta Watanzania waliopo huko!!!. nitoe mfano wa USA Bei ya mafuta ya gari kuna sehemu $2.50 kwa gallon na sehemu nyingine $5.40 kwa gallon inategemea mji na sheria za sehemu.
 
Chief bei ulizotaja zinawiana. Huku Polepole na Kamwaga wanatafuta uwiano wa elfu hamsini na sita kwa buku mbili
 
Kulikuwa hakuna sababu ya kulinganisha Bei ya Cuba na Tanzania huko ni kutoana kwenye reli na kuacha kuongelea issue ya Maana..., Na Issue ya maana ni hii Kwanini tunahamasisha kutumia fedha za kigeni katika Kupikia badala ya Nishati ambayo tunayo ?!! Gesi Sio yetu na tunanunua na ukisema tushushe bei ni kutumia Kodi zetu ili kutajirisha wengine....

Mkuu nimesoma maandiko yako, naweza sema una consistency ya hali ya juu kwenye jambo hili.

Naomba kukuuliza una case study yoyote ya nchi masikini waliofanikiwa kutumia umeme kama nishati kuu ya kupikia? Tuachane na Cuba.
 
Moja unapoongelea kufanikiwa unamaanisha nini ?

Unaweza kuuliza mtu aliyezaliwa miaka 20 iliyopita watu walikuwa wanaogopa Gesi kwamba zitalipuka; watu walikuwa wana majiko ya umeme ya coil na plate (very inefficient); watu walikuwa wanapikia mpaka oven watu walikuwa wana taa za bulb ambazo zilikuwa ni heater kuliko taa (100watts) yaani hadi watu walizitumia kufugia kuku; ila watu walikuwa nazo nje wanaziwasha masaa yote usiku bila kuogopa gharama (sababu gharama ilikuwa ndogo per Unit); Na huwezi kusema hatuna Capacity sababu baada ya Bwawa capacity ime more than double.

Kwa point zangu hapo juu utagundua jambo moja nalo ni kwamba gharama ya umeme per unit zimepanda maradufu na sio rafiki tena..., Ila unajua jambo moja ?!!! Pamoja na kupanda huko kwa vijijini (unit moja Tshs 100/=) bado ni bei ndogo kuliko gesi kwa dakika hii na sasa hivi vyombo vya umeme ni more efficient sasa kwanini tuwadanganye wanavijiji kwa kuwapa majiko ya gesi (Achana na Case Study hio ni fact, na ukifanya conversion ya bei za dakika hii kwa umeme ni rahisi maradufu)

Sasa nikija kwenye swali lako la msingi ni nchi gani imefanikiwa katika kupikia umeme kama nishati kuu; Na mimi takuuliza ni nchi gani ambayo ina vyanzo vya kuweza kuzalisha umeme kama Tanzania (gesi, maji, upepo jua n.k.) ? Kumbuka hio Gesi wewe hauna; kwahio sitawalaumu nchi za Kiarabu au tuseme Algeria hata wakitumia gesi kuendeshea magari (sababu wanayo lukuki) sisi hatuna hio LPG.... Moral of the Story usiangalie nani amefanya nini wakati nyenzo alizonazo mwenzako wewe hauna au yeye hana....

Tuanzie Tulipo, Tutumie Tulichonacho na Tufanye Tunachoweza - Logikos JF​
 
au mliwaji akina zito sio wamchezo mchezo urafiki wao usije ukawa wasihaba
 
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.

Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii alidai kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 20 nchini Cuba ni Shilingi 2,000 za Kitanzania, akilinganisha na bei ya mtungi wa kilogramu 15 nchini Tanzania inayofikia kati ya Shilingi 56,000 hadi 60,000.

Hata hivyo, Agosti 30, Kamwaga alipinga kauli hiyo wakati akichangia mjadala ulioandaliwa na Jukwaa la Wachambuzi na PPPC, akisema kuwa bei ya mtungi wa gesi wa kilogramu 10 nchini Cuba ni kati ya Shilingi 100,000 hadi 300,000 za Kitanzania.

Hali ilichukua mkondo mpya Agosti 31 baada ya Polepole kumshutumu Kamwaga kwa kutumia Google kama chanzo chake cha taarifa, akieleza kushangazwa na uhalali wa takwimu hizo.

Septemba 1, 2025 Kamwaga amefika katika Ubalozi wa Cuba jijini Dar es Salaam kujiridhisha kuhusu bei halisi ya gesi nchini humo.

“Nimeamua kuja hapa kwenye Ubalozi wa Cuba kwa sababu hapa kuna watu waliowahi kuishi Cuba, wengine wamewahi kununua mitungi ya gesi kule. Angalau nikichanganya taarifa za mtandao na hizi za hawa watu ninaweza kupata kitu kizuri. Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.

Unadhani mzani wa hoja katika mjadala huu utaegemea upande upi kati ya upande wa Polepole na ule wa Kamwaga?
View attachment 3461747
Ili iweje?
 
Jamaa anatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu.
 
Kumbe na Kamwaga ni chawa!!!!!!
 
Usiku wa kuamkia August 17, 2017, Wyne Lotter anauwawa kwa kupigwa risasi karibu na shule ya International School of Tanganyika, Masaki jijini Dar Es Salaam

Lotter alizama kwenye mtego wa taarifa sahii, alizotoa dereva wake aliyemsindikiza Lotter siku hiyo uwanja wa ndege KIA

Miezi minne baadae, yaani January 25, 2018, aliyekuwa waziri wa maliasili Hamis Kigwangala, aliwaambia waandishi wa habari kuwa anawajua wauaji wanne waliomuua Wyne Lotter

Akadai hata polisi wanawajua wauaji hao lakini hawajawachukulia hatua

Akaahidi kuwataja kwa rais Magufuli

Kigwangala alidai wahusika wa mauaji ya Wyne Lotter ni sehemu ya mtandao wa wamiliki vitalu vya uwindaji wanaojihusisha na uharamia wa meno ya tembo

Miezi tisa baadae yaani Oct 30, 2018 polisi wanavamia nyumbani kwa Akram Aziz, mkurugenzi wa kampuni ya Kilombero Hunting Safaris

Pale nyumbani kwa Akram ambaye ni kaka wa mfanyabiashara Rostam Aziz, katika upekuzi, polisi wanakuta meno sita ya tembo, nyama ya nyati kilo 65, na idadi kubwa ya bunduki za kuwindia.

Feb 19, 2019, raia wa china Yang Feng Glan,maarufu kama "Malkia wa pembe za ndovu",na wenzake wawili wanahukumiwa vifungo vya miaka 17 kila mmoja, kwa mauaji ya tembo 809 ili kuvuna pembe zenye uzito wa jumla ya tani 1.9

Marehemu Wyne Lotter ndiye alifanikisha kukamatwa kwake.

Ilidaiwa kuwa "malkia" huyu alikuwa akifanyia ujangili huyu kwenye pori la akiba la Serous

Oct 18, 2021,Samweli Gibuyi,rubani wa ndege za kupatrol tembo za shirika la PAMS foundation mali ya marehemu Wyne Lotter,anapotea angani baada ya kuruka na ndege hiyo kwenye pori la serous.

Miezi miwili baadae, Dec 21, 2021, Akram Aziz anakuwa huru baada ya kukiri makosa kwa DPP na kukubali kulipa fine ya tshs milioni 259.

NO REFORMS NO ELECTIONS.

HUYU HAPA
 
Imagine unaenda ofisi ya Ubalozi kwa sababu ya ubishani tu, mwingine anenda kuulizia details za mchongo fulani!!
 
Ameshindwa kwenda polisi kuulizia watekaji yeye anaenda ubalozini kuulizia bei ya gesi? Wampe majibu na makofi juu.
 
Back
Top Bottom