Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Umecomment uchafu
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Hovyo..

Nenda page ya Insta ya Simba utuambie hamjawahi kupost Logo ya Yanga???
 
Back
Top Bottom