Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Haji Manara.. atakwambia vzr kbs.Matatizo Gani mkuu
Hili suala la kisheria lakini yeye kajibu kimalayaAlikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga
Haya ndiyo majibu ya semaji la final za CAF
"Nashangaa makolo wanalalamikia Kwamba tumetumia logo yao, mara ooh sijui Sheria itafanyaje ......nataka niwaambie kuwa pale vyote ni vyao logo na Ile 5 kubwa ....vyote ni vyao
Na bado hili suala la bango likiisha ....Kuna tukio lingine tutaleta mpaka pale watakapo kaa kimya
NB: huyu jamaa hizi ni sifa Sasa [emoji23]View attachment 2814629
Na ndivyo itakavyokua ,ni muda tuSawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Yaaah mkuu hili jambo linaweza kuwakasirisha wachezaji wa kolo ..then kuja kulipia kisasi kizitoSawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
The more watakavyo react .....ndivyo watazidi kuipaisha Yanga ..... kuhusu 5GNyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Umekuja kwa angle nzuri sana na hiyo psychological torture , lkn je anashtakiwa nani ? We unanyoona hapo nani wakushtakiwa, kabla ya kujibu pitia IRC ( Image copyrights contract ) inakuaje hasa ktk sokaNyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Ah wapiiii. Hakuna Simba ya kuuifunga yanga mbele ya gamondi.. na hakuna Simba ya kushinda Tano mbele ya yanga Karne hii. Watakachoambua labda sare tuSawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Weka kifungu kinachosema hivoAsichokijua Range ni kuwa timu zote za ligi ni zenyewe nje ya uwanja lakini zikishafika uanjani, zenyewe pamoja na matokeo yake siyo mali ya klabu tena.
Waje n takwimubza presha na kizunguzubgu kwa mashabiki zao. Hata hivyo waweke ombi la kushusha bango Hilo ili wagonjwa wapate nafuuNyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Hapo tunaangalia madhara na sio nani yupo sahihi unaweza ukafanya maaamuzi sahihi kisheria ila kama mwenzako amepata madhara hyo inatosha kukutia hatiani.Umekuja kwa angle nzuri sana na hiyo psychological torture , lkn je anashtakiwa nani ? We unanyoona hapo nani wakushtakiwa, kabla ya kujibu pitia IRC ( Image copyrights contract ) inakuaje hasa ktk soka