Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Alikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga

Haya ndiyo majibu ya semaji la final za CAF
"Nashangaa makolo wanalalamikia Kwamba tumetumia logo yao, mara ooh sijui Sheria itafanyaje ......nataka niwaambie kuwa pale vyote ni vyao logo na Ile 5 kubwa ....vyote ni vyao

Na bado hili suala la bango likiisha ....Kuna tukio lingine tutaleta mpaka pale watakapo kaa kimya

NB: huyu jamaa hizi ni sifa Sasa [emoji23]View attachment 2814629
Hili suala la kisheria lakini yeye kajibu kimalaya
 
Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
 
Na ndivyo itakavyokua ,ni muda tu
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
 
Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Yaaah mkuu hili jambo linaweza kuwakasirisha wachezaji wa kolo ..then kuja kulipia kisasi kizito
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
The more watakavyo react .....ndivyo watazidi kuipaisha Yanga ..... kuhusu 5G

So it's better wakaacha lipite [emoji1]
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Umekuja kwa angle nzuri sana na hiyo psychological torture , lkn je anashtakiwa nani ? We unanyoona hapo nani wakushtakiwa, kabla ya kujibu pitia IRC ( Image copyrights contract ) inakuaje hasa ktk soka
 
Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Ah wapiiii. Hakuna Simba ya kuuifunga yanga mbele ya gamondi.. na hakuna Simba ya kushinda Tano mbele ya yanga Karne hii. Watakachoambua labda sare tu
 
Asichokijua Range ni kuwa timu zote za ligi ni zenyewe nje ya uwanja lakini zikishafika uanjani, zenyewe pamoja na matokeo yake siyo mali ya klabu tena.
Weka kifungu kinachosema hivo
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Waje n takwimubza presha na kizunguzubgu kwa mashabiki zao. Hata hivyo waweke ombi la kushusha bango Hilo ili wagonjwa wapate nafuu

Ova.
Cc. Propopoma GENTAMYCIME
 
Umekuja kwa angle nzuri sana na hiyo psychological torture , lkn je anashtakiwa nani ? We unanyoona hapo nani wakushtakiwa, kabla ya kujibu pitia IRC ( Image copyrights contract ) inakuaje hasa ktk soka
Hapo tunaangalia madhara na sio nani yupo sahihi unaweza ukafanya maaamuzi sahihi kisheria ila kama mwenzako amepata madhara hyo inatosha kukutia hatiani.
 
Hawezi jibu kwakua ni swali la kitaalam.
 
Back
Top Bottom