Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwahiyo bango la matokeo ya magoli ni psychological tortureNyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Ila Simba walivyokuwa wanaeadhihaki Yanga kwa maneno kama ombaomba FC,vyura FC ,watembeza mabakuli haikuwa torture?
Kama unamtorture mwenzio na wewe lazima uwe mvumilivu ukinyanyaswa.