Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Kwahiyo bango la matokeo ya magoli ni psychological torture
Ila Simba walivyokuwa wanaeadhihaki Yanga kwa maneno kama ombaomba FC,vyura FC ,watembeza mabakuli haikuwa torture?

Kama unamtorture mwenzio na wewe lazima uwe mvumilivu ukinyanyaswa.
 
Hadi sasa sijaelewa Simba inapolalamika logo yao kutumika kinyume na ridhaa yao...

Hiyo logo inayotajwa ni ile nembo ya timu ya Simba kwenye matokeo ya 1 - 5 au kuna logo nyingineyo?

Kama ni hiyo, mbona Simba hawajawahi kuyaburuza magazeti mahakamani yanapochapisha habari yenye nembo ya timu, au televisheni zinapoweka logo yao kwenye matangazo?

Kwani Yanga wamepata maslahi gani walipoweka yale mabango yenye matokeo ya mechi? Au Simba imeharibiwa vipi brand yake kwa kuelezea matokeo ya mechi kwenye mabango?
Mfa maji haachi kutapatapa
 
Kwahiyo bango la matokeo ya magoli ni psychological torture
Ila Simba walivyokuwa wanaeadhihaki Yanga kwa maneno kama ombaomba FC,vyura FC ,watembeza mabakuli haikuwa torture?

Kama unamtorture mwenzio na wewe lazima uwe mvumilivu ukinyanyaswa.
Waliweka mabango yaani ni sawa unamdai mtu halafu unaweka mabango fulani namdai million moja hata kama una haki ila hapo hutoboi kubali kujifunza acha ushabiki maandazi nitajie team moja duniani iliyofanya hvyo.
 
Mkuu hayo ni matokeo ambayo hata simba amepost kwenye page zake za insta, twitter n.k ikiwa na logo ya yanga pia kinachotokea ni kuwa yanga ameamua aweke mtaani pia kwenye mbao za matangazo, kesho anaweza publish kwenye magazeti pia

Hizo picha zote azam ndio mmiliki halali kwakua ndio mpiga picha wa ligi.

Kama matokeo sio halali washitaki kwa kuchafuliwa
Ukiwa una mdai mtu unaweza kuweka picha yke na mabango yake public achana na kwenye social media.
 
Wapae kwenda wapi? Kama kuna nafasi ya kuchukua pesa hiyo pesa isiachwe, washangilie ushindi huku wanalipa. Unless wawe sawa kisheria ila kama si sawa Simba ikachukue tu hizo fedha za bure hakuna popote watakapopaa. Ni vile tu hata mimi sioni kosa kisheria sababu matokeo ya mpira yanachapishwa kila kona, lakini mm si mtaalam wa sheria hivyo kama lipo kosa na kuna uhakika tuchukue pesa hizo.
Jambo la 5_1 litazidi kuongelewa .....kama Simba wata react
 
Waliweka mabango yaani ni sawa unamdai mtu halafu unaweka mabango fulani namdai million moja hata kama una haki ila hapo hutoboi kubali kujifunza acha ushabiki maandazi nitajie team moja duniani iliyofanya hvyo.
Kwahiyo unamfundisha mtu namna ya kumfedhehesha mtu?

Wewe ukimfedhehesha mwenzio kwa style Yako,naye atakuja na style yake kukufedhehesha,,na inaweza isiwe ile uliyoitarajia.

Kikubwa ni uvumilivu.

Ukinyanyasa mwezio na wewe subiri kunyanyasika,usianze kulialia.
kubali kujifunza acha ushabiki maandazi nitajie team moja duniani iliyofanya hvyo.
Acha ushabiki vitumbua.
Nitajie pia timu duniani ambayo imewahi kuita wenzao ombaomba mabakuli.
 
Wamepigwa uwanjani, wakienda mahakamani watapigwa tena. Na bango jingine litawekwa kutangaza matokeo ya 5 na ya mahakamani....
Mwendo wa kupigwa na kutangaza kipigo....
Hatugandishi matokeo....
[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom