Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Jimbo la Mkanyageni 2000 -2005 keep recordKwani aliyepo alishawahi kuwa wa jumbo lipi?
Tukumbushane basii?
Sema chochote Mkuu. Nakuomba sanaDuh...!.
P
Mama makamu sio makame mbarawa,mbarawa anahusiana vipi na ufalme wa zenji kama sio kukosea basi mwandishi ametumia mfichoDr. John Pombe Magufuli
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa
Nahisi kama Mwanae huyo asipopata hiyo Kazi ambayo amekuwa akiiota kwa zaidi ya Miaka 15 kama si 20 basi tunaweza Kumpoteza kama Taifa.
Kwani ukweli wako uko wapi?Acha uwongo wewe
Duh...!.
Hoja za bandiko hili ni hoja za uongo mkubwa na za kubaini!.
1. Joni sio mtu muoga na asiejiamini kama unavyomuelezea hapa kumuonyeshea ni mtu muoga, hana confidence na anasumbuliwa na tatizo la insecurity ya kuogopa watu kitu ambacho sii kweli!.
2. Hussein hana mtandao wowote, ni mtu simple, humble and down to earth, anasimama mwenyewe with his own merits, hategemei mbeleko ya yeyote!
3. Kitu pekee ulichopatia kwenye bandiko hili ni Makame kwa sababu ni presidential material kama nilivyo muelezea hapa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Ila Hussen anafaa katika hii safari kuliko Makame,na kama wakikosa wote mama Dada apewe usukani maana anaonekana sasa kuwa anaweza kuendesha jahazi.
Nahisi kama Mwanae huyo asipopata hiyo Kazi ambayo amekuwa akiiota kwa zaidi ya Miaka 15 kama si 20 basi tunaweza Kumpoteza kama Taifa.
Kwa hiyo kama Huseyn na Makame watatolewa ghafla paspo kutarajia,nani anaweza kuchukua jahazi bila ya kutegemea.Yaani Wazanzibari waongozwe na Mwanamke? Ndugu yangu nadhani huwajui hao Watu na Itikadi zao. Mwanamke Kuongoza Isles huko ni Ndoto.
Fair analysisDuh...!.