Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Mwandishi uliposema makame wanajua ni makame mbarawa lakini kiukweli utakuwa unamaanisha mzee mama
 
Hawa watu wanajiona wao ndiyo wenye haki ya kuwa viongozi
Nahisi kama Mwanae huyo asipopata hiyo Kazi ambayo amekuwa akiiota kwa zaidi ya Miaka 15 kama si 20 basi tunaweza Kumpoteza kama Taifa.
 
Duh...!.
Hoja za bandiko hili ni hoja za uongo mkubwa na za kubaini!.
1. Joni sio mtu muoga na asiejiamini kama unavyomuelezea hapa kumuonyeshea ni mtu muoga, hana confidence na anasumbuliwa na tatizo la insecurity ya kuogopa watu kitu ambacho sii kweli!.
2. Hussein hana mtandao wowote, ni mtu simple, humble and down to earth, anasimama mwenyewe with his own merits, hategemei mbeleko ya yeyote!
3. Kitu pekee ulichopatia kwenye bandiko hili ni Makame kwa sababu ni presidential material kama nilivyo muelezea hapa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P

Jifunze Kuheshimu Mawazo na hata Uwasilishaji wa Members wengine hapa Mtandaoni JamiiForums na acha Kujifanya kuwa Wewe ndiye Einstein au Brainiac wa Jamvi hili zima wakati Kiuhalisia Ukweli siyo huo na hauko hivyo na huenda pia hutobahatika kuwa hivyo. Unaposema Bandiko hili limejaa Hoja za Uwongo Wewe zako za Ukweli ziko wapi na Wewe ni nani mpaka uwe na uwezo wa Kuzithibitsha?

Acha kutaka Kuaminisha na Kuwaaminisha Watu ( Members ) hapa kuwa kile ambacho Wewe huwa unakiwakilisha hapa basi ndiyo Genuine katika katika Facts zake na kwamba Watu wengine wote hawana uwezo wa ama Kukuzidi au kwenda an extra mile na Mtazamo wako. Sijaanza Kukusoma leo japo huwa sishawishiki Kuchangia katika Mada zako kwakuwa huwa sioni kipya zaidi ya blah blah zako na Kujikweza Kwako Kwingi.

Mwisho kabisa hukuwa na haja ya Kuchangia halafu kuniwekea Mada zako na sijui ni kwanini umekuwa na hii tabia ambayo sioni haya ( aibu ) kuiita ya Kishamba. Kama unapenda Mada zako ziwe zinasomwa na uwe unasomwa sana ili Umaarufu wako unaoutaka hapa JamiiForums uzidi nakushauri omba kwa Uongozi wa JamiiForums uwe na Jukwaa lako liitwalo JF Pascal Mayalla Threads Only ili uridhike kwani Unaboa mno tu.

Nimemaliza.
 
Ila Hussen anafaa katika hii safari kuliko Makame,na kama wakikosa wote mama Dada apewe usukani maana anaonekana sasa kuwa anaweza kuendesha jahazi.
 
Ila Hussen anafaa katika hii safari kuliko Makame,na kama wakikosa wote mama Dada apewe usukani maana anaonekana sasa kuwa anaweza kuendesha jahazi.

Yaani Wazanzibari waongozwe na Mwanamke? Ndugu yangu nadhani huwajui hao Watu na Itikadi zao. Mwanamke Kuongoza Isles huko ni Ndoto.
 
Msongo wa mawazo wa kijana wake ambaye yeye anaona anastahili, kwa kukosa ULAJI mkubwa unaweza ukala naye sahani moja.

Nahisi kama Mwanae huyo asipopata hiyo Kazi ambayo amekuwa akiiota kwa zaidi ya Miaka 15 kama si 20 basi tunaweza Kumpoteza kama Taifa.
 
Yaani Wazanzibari waongozwe na Mwanamke? Ndugu yangu nadhani huwajui hao Watu na Itikadi zao. Mwanamke Kuongoza Isles huko ni Ndoto.
Kwa hiyo kama Huseyn na Makame watatolewa ghafla paspo kutarajia,nani anaweza kuchukua jahazi bila ya kutegemea.
 
Hongera kwa kueleza hilo
Naunga mkono

Nilisikia kuwa hussein kagomea uwazir tangu march hivyo vikao vyote na wizaran haendi sikuhizi, nadhan zitakuwa na ukweli

Mpaka sasa joni anaoption nyingine ya act
 
Duh...!.
Hoja za bandiko hili ni hoja za uongo mkubwa na za kubaini!.
1. Joni sio mtu muoga na asiejiamini kama unavyomuelezea hapa kumuonyeshea ni mtu muoga, hana confidence na anasumbuliwa na tatizo la insecurity ya kuogopa watu kitu ambacho sii kweli!.
2. Hussein hana mtandao wowote, ni mtu simple, humble and down to earth, anasimama mwenyewe with his own merits, hategemei mbeleko ya yeyote!
3. Kitu pekee ulichopatia kwenye bandiko hili ni Makame kwa sababu ni presidential material kama nilivyo muelezea hapa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Fair analysis
 
Back
Top Bottom