Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Hiyo April Fool's day was just a coincidence, hizo hoja ni valid na bado namtafuta Polepole.
P

Kila mara unarudia rudia Kumtaja Polepole ndiyo tukuone kuwa uko karibu nae sana na Viongozi Wakuu wa CCM au? Ujuha unakusumbua mno.
 
Si yupo pale lumumba mkuu..!? Au kwani ni lazima uende kwake? Mbona wengine hivyo vipeperushi wanavichukulia mashinani au ndio unataka kiki..!??

...lakini ujiandae kushikiwa akili na kuanza kuongozwa na remote!

Ndugu yangu kwani Wewe leo ndiyo unajua kuwa huyo Boya na Pimbi ni mpenda Sifa ( Kiki ) mno na anataka kujifanya ni Mjuvi wa kila Jambo?
 
Ukweli mchungu ni kuwa Hussein Mwinyi ndio atakuwa mgombea urais wa CCM Zanzibar 2020. Japokuwa hafai na ushindani ukiwa sawa ndani ya CCM hawezi kupita, lakini ndiye atayepitishwa na CCM. Sababu za kimsingi ziko hapa.

1. Ni mzanzibar pekee ambaye amekuwepo kwenye awamu zote tatu za serikali ya muungano kwa kubebwa kwa 100%. Suala la urais ndani ya CCM ni issue ya kubebana. Kama mara zote amekuwa akibebwa, hata zamu hii atabebwa tu!

2. Ndio mzanzibar pekee iliyeandaliwa kwa muda mrefu zaidi na Tanzania bara kwenda kuiongoza (kuitawala) Zanzibar. Ukiachalia mbali uwaziri wa Afya aliowahi kuishikiria, muda mwingine wote amekuwa waziri wa ulinzi kwenye muungano. Na sote tunajua, Tz bara kuing'ang'ania Zanzibar katika muungano ni agenda ya kiulinzi zaidi.

3. Kabla ya kutafutiwa ubunge huko Zanzibar (mahali ambako hakukulia, hakuishi na hata sasa haishi) Dr.Hussein Mwinyi alikuwa mbunge wa Mkuranga. Yaana Hussen Mwinyi aliliacha jimbo la Mkuranga (ambalo ni kubwa sana kieneo na idadi ya watu huenda zaidi ya mara 10 ya jimbo alilolifuata Zanzibar). Hayo yalifanyika miaka 10 iliyopita ili kutengeneza njia ya kuupata urais wa Zanzibar wakati huu.

4. Baba yake (Mzee Ally Hassan Mwinyi) amekuwa mtiifu na mwenye kujipendekeza sana kwa Magufuli ili kutengeneza njia kwa mwanaye.
 
Mimi niwahakikishie kuwa kuna mwamba mmoja atatokea out of nowhere (Sio Hussein, sio Makame wala Bi Mkubwa) na kufanikiwa kula tunda kimasihara kama ilivyotokea kwa Joni mwenyewe 2015 tunda lilipomdondokea kimasihara.[emoji2]

Nakubaliana nawe kwa hili kwa 100% zote Ndugu kwani tayari kuna Makundi Hasimu Mawili hivyo kuyaua anatakiwa Mtu aliye nje nayo aongoze.
 
Kinyume ndio mwendo. Mbwa mwoga utamjua kwa kubweka kwake. Makeke kibao. Acha kabisa. Jaribu kukumbuka tabia na mwenendo wa Fidel Castro, jasiri shujaa shupavu!
Simple, down to/below/under the earth na merits ni mtandao madhubuti kuliko mingine yote!
 
Huyo analamba makalio ya joni ili apate uteyuzi! Kwisha habari yake wala asikupe homa! Anajitia kujua kumbe mlamba makalio tu!
 

Siku zote Mke mwema ni lazima tu atakuwa anamuunga mkono Mumewe katika Jambo lolote lile ili Kuimarisha Ndoa yake asije Kuachika akasota.
 

Endelea Kujidanganya ila huyu unayedhani kuwa atakuwa basi hatokuwa na najua wengi wenu mnaweza mkashangaa na msiamini Kinachokuja.
 
Huyo analamba makalio ya joni ili apate uteyuzi! Kwisha habari yake wala asikupe homa! Anajitia kujua kumbe mlamba makalio tu!

Nimeshalidharau Siku nyingi sana Ndugu halafu huwa napenda kweli Kulisanifu huku lenyewe likijidanganya kuwa ni Genius JamiiForums nzima.
 

Kwanza Hussein alikimbia JKT kwa mujibu wa sheria, tuanze na hilo, na hilo liliwezekana kwa sa avu baba yake ni raisi. Ilipaswa asipewe hata dhamana ya kuwa waziri wa mambo ya majeshi
 
Kwanza Hussein alikimbia JKT kwa mujibu wa sheria, tuanze na hilo, na hilo liliwezekana kwa sa avu baba yake ni raisi. Ilipaswa asipewe hata dhamana ya kuwa waziri wa mambo ya majeshi

Nakuonea Huruma kuwa unapoteza muda wako Kujibizana na huyo Mtu ambaye anajiona ni wa Muhimu kuliko JF Members wote waliopo hapa.
 
Baba Huseni amekuwa akijishusha kwa kamanda Joni saana ili kumtengenezea mwanae Huseni njia, anajua Joni anachotaka huwa kinakua pendeni msipende!! Ukila chabo vizuri safari hii atatokea mtu wa kulekule ambaye bara hatumjuuuui hapo nahisi bahuseni atajikuta Membe kiaina ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…