Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello JF
Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale.
Kanisa Katoliki ni kanisa la Mungu aliye hai jana Leo na hata milele.
Masikio yapo, macho yapo midomo ipo na mikono ipo hata maruhani, majini na mashetani wana viungo.
Shukrani ni hayo tu
Wadiz