Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kabisa mkuu, enjoy kwa afya yako. Iuna ya kujifunza na kuchekesha pia.Am just enjoying the film
🤣🤣 all in all i leqrn in this situation is that our leadees they need to be wazqlendo money is just something to passKabisa mkuu, enjoy kwa afya yako. Iuna ya kujifunza na kuchekesha pia.
Binafsi nimecheka hapo tu PhD zinapoanza kutoa matusi. Najiuliza kunani tena?!!!!!!
Usitake kudanganya watu. Fitina za kanisa katoliki ndiyo chanzo cha mauaji ya Kimbari Rwanza, hata francis amekiri hayo:Hello JF
Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale.
Kanisa Katoliki ni kanisa la Mungu aliye hai jana Leo na hata milele.
Masikio yapo, macho yapo midomo ipo na mikono ipo hata maruhani, majini na mashetani wana viungo.
Shukrani ni hayo tu
Wadiz
Exactly!🤣🤣 all in all i leqrn in this situation is that our leadees they need to be wazqlendo money is just something to pass
Kwa hio genocide inhusika vipi hapa labda uzungumzie wala tumbili waliojaribu amani ya Nchi kule rufiji, kibiti na mkurangaUsitake kudanganya watu. Fitina za kanisa katoliki ndiyo chanzo cha mauaji ya Kimbari Rwanza, hata francis amekiri hayo:
Makala hii ni zaidi ya miaka 6
Papa Francis aomba msamaha kwa kuhusika kwa kanisa katika mauaji ya kimbari Rwanda
Papa Francis amekiri baadhi ya mapadri wa Kikatoliki na watawa 'wameshindwa na chuki na vurugu' kwa kushiriki katika mauaji ya mwaka 1994.
Harriet Sherwood Religion correspondent
@harrietsherwood
Mon 20 Mar 2017 17.39 GMT
Papa Francis ameomba msamaha kwa kuhusika kwa kanisa katoliki katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994, ambapo watu 800,000 waliuawa katika siku 100 za ghasia. "Dhambi na kushindwa kwa kanisa na waumini wake" "vimeuharibu uso" wa Ukatoliki, alisema.
Akizungumza baada ya kukutana na rais wa Rwanda, Paul Kagame, Vatican imekiri kuwa baadhi ya mapadre na watawa wa Kanisa Katoliki "wamejipata katika chuki na vurugu" kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari.
Chanzo: Pope Francis asks for forgiveness for church's role in Rwanda genocide
Baba mtakatifu shoo mtumishi wa kanisa la kkkt alisema kuwa mwanzo wa jambo hili la bandari walienda viongozi wa dini zote tena wakiongozwa na bakwata na kanisa la Kiroma mpaka ikuru wanakutana na rais wakampa mapendekezo yao kuhusu kasolo zilizomo kwenye mkataba na rais kahaidi kuwapa wataalamu wake kisha walifanyieHello JF
Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale.
Kanisa Katoliki ni kanisa la Mungu aliye hai jana Leo na hata milele.
Masikio yapo, macho yapo midomo ipo na mikono ipo hata maruhani, majini na mashetani wana viungo.
Shukrani ni hayo tu
Wadiz
Hujielewi huyo Bibi yenu anachokitaka Mungu atampa kwa namna ileile Tanganyika sio ya mashetaniBaba mtakatifu shoo mtumishi wa kanisa la kkkt alisema kuwa mwanzo wa jambo hili la bandari walienda viongozi wa dini zote tena wakiongozwa na bakwata na kanisa la Kiroma mpaka ikuru wanakutana na rais wakampa mapendekezo yao kuhusu kasolo zilizomo kwenye mkataba na rais kahaidi kuwapa wataalamu wake kisha walifanyie
Kitendo cha kanisa la roma kugeuka na kujifanya hawataki mkataba huo huo ni uhuni sababu mwanzo walikubali ndio maana baba mtakatifu shooo hakutaka kuwa mnafiki shikamoo baba mtakatifu askofu shooo kwa kuwa mkweli wewe sio mnafq