Mbona Pakistan inayo, na inaiunga mkono Hamas 100% na wanalitambua taifa la palestina!!1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani.
Mbona Imetoa kibali kwa makombora ya masafa marefu kupiga ndani ya Russia kutokea Ukraine!!Baadhi ya nchi ambazo Marekani haiwezi kuthubutu kuzivamia kijeshi ni pamoja na Russia, North Korea, China n.k.
Siyo kichaa sema kichaa ambaye hajamuachia rasilimali zake!! Unadhani Iran angekua amemuachia mafuta yote angeguswa na chochote?Ni hatari sana kichaa kumiliki rungu, anyooshwe tu.
Pakistani?Mbona Pakistan inayo, na inaiunga mkono Hamas 100% na wanalitambua taifa la palestina!!
USA ni wanafiki kama issue ni dini au demokrasia mbona saudia hamna demokrasia na Prince MBS kaua watu kibao na ana support magaid wa RSF Sudan ila huwezi ona anaguswa sababu ya maslahi.
Hayo ya silaha na ugaidi ni kisingizio tu
Mbona Imetoa kibali kwa makombora ya masafa marefu kupiga ndani ya Russia kutokea Ukraine!!
Pia imemtishia China kuwa ikivamia Taiwan bas nayo itavamiwa na US!!
athari za kuwafanya majirani zako wote kua ni maadui zako,Ila ayatollah kafa kizembe sana,pigo moja tu chini
Usijitoe akili USA anangalia maslahi yake hasa mafuta na ulizi wa israel kiumbe yoyote atakayetishia mambo hayo makuu mbele ya USA lazima apotezwe kwa namna yoyote.Mbona Pakistan inayo, na inaiunga mkono Hamas 100% na wanalitambua taifa la palestina!!
USA ni wanafiki kama issue ni dini au demokrasia mbona saudia hamna demokrasia na Prince MBS kaua watu kibao na ana support magaid wa RSF Sudan ila huwezi ona anaguswa sababu ya maslahi.
Hayo ya silaha na ugaidi ni kisingizio tu
Mbona Imetoa kibali kwa makombora ya masafa marefu kupiga ndani ya Russia kutokea Ukraine!!
Pia imemtishia China kuwa ikivamia Taiwan bas nayo itavamiwa na US!!
Sasa ndio anaenda kuyaachia vzr tu wahuni wajichotee.Siyo kichaa sema kichaa ambaye hajamuachia rasilimali zake!! Unadhani Iran angekua amemuachia mafuta yote angeguswa na chochote?