Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
Since 2001, US officials have prioritized safeguarding Pakistan's nuclear arsenal from potential nuclear terrorism, supplying equipment and training, and drafting military contingency plans.Pakistan hiyohiyo yenye nyuklia ndio Marekani ameingia na kumuuua gaidi Osama bin Laden tena karibu kabisa na kambi ya jeshi na hakuna walichofanya Pakistan kando ya kulalamika tu pembeni.
Nchi hizo zenye nyuklia basi moja ajichanganye apige manowari moja ya kivita ya Marekani tuone kama hawatafahamu rangi zote zilizopo katika dunia hii.
hao kamwe hawafurukuti kabisa, na tayari Marekani inawapapasa taratibu kama hivyo yaan,
Pakistan is not widely suspected of either producing biological weapons or having an offensive biological programme. Pakistan is a party to the Geneva Protocol, Chemical Weapons Convention, and Biological Weapons Convention.