Na wapuuzi wa ccm mlianza siku za karibuni kujifanya hamna woga na nchi za Magharibi, kisa mnajifanya mna urafiki na Russia na China. Sasa nadhani mmeona ukweli wa hizo kinga zenu zilivyotulia kama hazipo. Marekani anatakiwa asiishie hapo, atoe maagizo kuwa demokrasia itekelezwe nchi zote duniani, kisha Russia na China maana ndio wanajifanya hawasikii, awatengee muda wa kuwashikisha adabu.1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi hulengwa na kuorodheshwa na marekani kama ni nchi hatari na tishio zaidi kwa usalama wa dunia. Iraq na Iran ni mifano mizuri ya nchi hizo na tunaweza kuzitumia kama mifano kwa sera ya marekani ya kudhibiti nchi hizo kua na silaha za maangamizi.
2. Kamwe Marekani haiwezi kuzichokoza au kuzitisha kijeshi nchi ambazo tayari zina silaha nzito na za kisasa zenye uwezo wa kuifikia ardhi ya Marekani kirahisi na kuathiri watu wake na uchumi wake. Baadhi ya nchi ambazo Marekani haiwezi kuthubutu kuzivamia kijeshi ni pamoja na Russia, North Korea, China n.k.
Nchi nyingine zote ambazo sio kitisho cha kiusalama kwa marekani lakini zina maslahi ya kiuchumi kwa nchi hiyo, zinaweza kuvamiwa wakati wowote na Marekani na hakuna nchi yoyote ulimwenguni inaweza kuzuia hilo kutokea, kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa marekani, uwezo mkubwa wa kiuchumi na ushawishi mkubwa wa kisiasa ilionao Marekani duniani kote.
R.I.P Ayatollah Ali Khamenei
Mungu Ibariki Tanzania.
Nyinyi mtaani kwenu mtaruhusu kichaa awe anatembea na panga, wakati mna watoto wanaotoka majumbani na kwenda shule au kuchenza nje kila siku. Ushaona mtu mwenye akili timamamu anakatazwa kushika panga mtaani kwenu. Marekani anadeal na vichaa ambao wakishika nyukilia wanachowaza ni kuua tu.1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi hulengwa na kuorodheshwa na marekani kama ni nchi hatari na tishio zaidi kwa usalama wa dunia. Iraq na Iran ni mifano mizuri ya nchi hizo na tunaweza kuzitumia kama mifano kwa sera ya marekani ya kudhibiti nchi hizo kua na silaha za maangamizi.
2. Kamwe Marekani haiwezi kuzichokoza au kuzitisha kijeshi nchi ambazo tayari zina silaha nzito na za kisasa zenye uwezo wa kuifikia ardhi ya Marekani kirahisi na kuathiri watu wake na uchumi wake. Baadhi ya nchi ambazo Marekani haiwezi kuthubutu kuzivamia kijeshi ni pamoja na Russia, North Korea, China n.k.
Nchi nyingine zote ambazo sio kitisho cha kiusalama kwa marekani lakini zina maslahi ya kiuchumi kwa nchi hiyo, zinaweza kuvamiwa wakati wowote na Marekani na hakuna nchi yoyote ulimwenguni inaweza kuzuia hilo kutokea, kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa marekani, uwezo mkubwa wa kiuchumi na ushawishi mkubwa wa kisiasa ilionao Marekani duniani kote.
R.I.P Ayatollah Ali Khamenei
Mungu Ibariki Tanzania.
1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi hulengwa na kuorodheshwa na marekani kama ni nchi hatari na tishio zaidi kwa usalama wa dunia. Iraq na Iran ni mifano mizuri ya nchi hizo na tunaweza kuzitumia kama mifano kwa sera ya marekani ya kudhibiti nchi hizo kua na silaha za maangamizi.
2. Kamwe Marekani haiwezi kuzichokoza au kuzitisha kijeshi nchi ambazo tayari zina silaha nzito na za kisasa zenye uwezo wa kuifikia ardhi ya Marekani kirahisi na kuathiri watu wake na uchumi wake. Baadhi ya nchi ambazo Marekani haiwezi kuthubutu kuzivamia kijeshi ni pamoja na Russia, North Korea, China n.k.
Nchi nyingine zote ambazo sio kitisho cha kiusalama kwa marekani lakini zina maslahi ya kiuchumi kwa nchi hiyo, zinaweza kuvamiwa wakati wowote na Marekani na hakuna nchi yoyote ulimwenguni inaweza kuzuia hilo kutokea, kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa marekani, uwezo mkubwa wa kiuchumi na ushawishi mkubwa wa kisiasa ilionao Marekani duniani kote.
R.I.P Ayatollah Ali Khamenei
Mungu Ibariki Tanzania.
ni muhimu sana ulimwengu mzima kuelewa sera hiyo muafaka ya kiusalama ya Marekani
well done gentleman,you are missing the point, USA ni Christian capitalist country, adui namba moja wa capitalism ni communism na political islam, hivyo yoyote anayefwata hiyo mifumo (communism na political islam) ni adui wa capitalism, tatizo liko hapo, lkn kama ukifwata capitalism USA hana shida na wewe na mtafanya biashara na wote mtanufaika (ofcourse kama pia umefanya home work yako na kujipanga jinsi ya kunufaika na USA) kinyume na hapo wewe ni adui na ni swala la muda tu.
na sababu kuu ni kwamba communism na political islam wote wanataka kuangusha western capitalist system na kuestablish mfumo wa ukandamizaji i.e communism na political islam ...
Tuliza mihemko nonsense basi gentleman,Na wapuuzi wa ccm mlianza siku za karibuni kujifanya hamna woga na nchi za Magharibi, kisa mnajifanya mna urafiki na Russia na China. Sasa nadhani mmeona ukweli wa hizo kinga zenu zilivyotulia kama hazipo. Marekani anatakiwa asiishie hapo, atoe maagizo kuwa demokrasia itekelezwe nchi zote duniani, kisha Russia na China maana ndio wanajifanya hawasikii, awatengee muda wa kuwashikisha adabu.
hayupo mwenye hizo mambo atachokozwa au kuvamiwa kijeshi na marekani gentleman,Na zile Nuclear za Pakistan hazifiki siyo?
mbona kuna chama cha siasa Tanzania kinaongozwa na kichaa gentleman, na wafuasi wake wanampenda kichizi.Je nao wanaweza kua vichaa?Nyinyi mtaani kwenu mtaruhusu kichaa awe anatembea na panga, wakati mna watoto wanaotoka majumbani na kwenda shule au kuchenza nje kila siku. Ushaona mtu mwenye akili timamamu anakatazwa kushika panga mtaani kwenu. Marekani anadeal na vichaa ambao wakishika nyukilia wanachowaza ni kuua tu.
Muda huu hu wa yu atakuwa anatafakari "kauri" yake kwa kinani muhimu sana ulimwengu mzima kuelewa sera hiyo muafaka ya kiusalama ya Marekani
Ndio ina nuclear za kutosha kupausha marekani yote.Pakistani?
bora ungesema india gentleman.
Hapana wanaogopa mataifa yenye nuclear tu!! Ila technically hakuna taifa lina uwezo wa kurusha bomu kwa 10,000 KM unless uwe jirani kabisa kama Russia, Japan, China.ikitokea Marekani anaivamia nchi yenye silaha ambazo pia zikivurumishwa zinaweza kutua kwenye ardhi ya marekani, basi huo utakua ndio mwanzo wa vita ya3 ya Dunia.
Vita zote zinapiganwa kwa proxy!! Wewe umeona USA ikirusha bomu kutoka washington hadi Tehran?kama US haiogopi Rassia,
ni kwanini huyo mmarekani hafyatui hayo makombora yeye mwenyewe kutoka marekani?
mzee wa AI artworks tuliza mizuka kidogo
hivi ndivyo marekani huwapooza wenye hizo mambo,Ndio ina nuclear za kutosha kupausha marekani yote.
Hapana wanaogopa mataifa yenye nuclear tu!! Ila technically hakuna taifa lina uwezo wa kurusha bomu kwa 10,000 KM unless uwe jirani kabisa kama Russia, Japan, China.
Hata hao Russia wakitaka kuishambulia US wanatumia base za Venezuela na Cuba sio necessarily mpaka warushe kombora kutoka Siberia!!
Vita zote zinapiganwa kwa proxy!! Wewe umeona USA ikirusha bomu kutoka washington hadi Tehran?
uliwahi kuskia marekani anawakoromea kijeshi hao ulowataja?Uliona au ulisikia wapi Russia, Urus na China wakidhamini vukundi vya kigaidi au wakitishia usalama wa Taifa la Israel? Kama nu nuclea mbina India na Pakistan wanazo.
wamchukue na yeyemambo haya ni mazito gentleman,
ni muhimu kutafakari kwa kina zaidi
Pakistan hiyohiyo yenye nyuklia ndio Marekani ameingia na kumuuua gaidi Osama bin Laden tena karibu kabisa na kambi ya jeshi na hakuna walichofanya Pakistan kando ya kulalamika tu pembeni.uliwahi kuskia marekani anawakoromea kijeshi hao ulowataja?
Urusi au hata China wanaweza kuwadhamini na kuwafadhili magaidi na wala US hawezi kufanya chochote na ndio maana mavita mengi hudumu muda mrefu zaid kwisha kwasababu ya ufadhili wa hao miamba kwa makundi ya kivita katika maeneo husika