Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

Since 2001, US officials have prioritized safeguarding Pakistan's nuclear arsenal from potential nuclear terrorism, supplying equipment and training, and drafting military contingency plans.
hao kamwe hawafurukuti kabisa, na tayari Marekani inawapapasa taratibu kama hivyo yaan,

Pakistan is not widely suspected of either producing biological weapons or having an offensive biological programme. Pakistan is a party to the Geneva Protocol, Chemical Weapons Convention, and Biological Weapons Convention.
 
Sasa ndio anaenda kuyaachia vzr tu wahuni wajichotee.

Kama inakuuma vaa suicide vest ujilipue umfuate Ayatollah.
Anajichoteaje wakati utawala ni ule ule. Ni sawa tu na Mugabe alivyotolewa ila bado kila kitu ni kile kile Zimbabwe tofauti ni rais tu ndio alibadlishwa
 
Ungejua waarabu wote wameungana dhidi ya Irani mana irani pia anatishia maslahi yao hususani meneo ya mecca na medina.
Hamna lolote ni makuwadi tu wa marekani, unadhani Urusi akivamia Dubai hao wamarekani au Israel itakuja kuwasaidia? Ila wao kujikomba tu kwa Trump ili aendelee kuwekeza, kununua mafuta na kuwauzia silaha!!
GUSA maslah ya usa upotezwe.
Mbona Mossad walitengeneza zengwe lote la Epstein files na hawajaguswa? Au hujui Robert Maxwell alizikwa kiserikali kabisa kama jasusi wa Mossad na bintiye yaani Ghislaine maxwell ndio alikua mtendaji mkuu wa chain nzima. Ila umeona nani kawajia juu mossad?
 
Muambie fazafaka wenu, alliance yake na China na Russia ni hopeless; amekalia kuti kavu. Siku watemi wakimhitaji watamnyakua mchana kweupe!

Umeona jinsi laana ya kumwaga damu za watu ilivyo mbaya? Mazafakas wa Iran wamepukutishwa utadhani walikuwa wanaishi chini ya mti. Attack ilikuwa foreseeable and potentially evadable, lakini kwa sababu ya damu nyingi za Wairan walizomwaga their fvcking brains had simply frozen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…