Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Mkuu Sasa unadhani kwann huyu wa klabu bingwa ana ng'ang'aniwa na waarabu
Hata Al Ahly, Zamalek, Ismailia, JS Saoura, Al Harrach, El Merrikh, RS Berkane nao ni waarabu, na wote hao wamekufa kwa Mkapa. Unataka sample ipi ya Waarabu zaidi unayosema imewang'ang'ania Simba?
 
Huyu njiti utapiamlo unamsumbua. Hapa Taifa
Js Soura alikula tatu
Al shandy tatu
Al harrach tatu
Arab contractor mbili
Al ahly moja
Zamalek moja
Hiyo juzi raja kuotea ndiyo kimeamua kitingishe matako kama kijehu!!
 
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.

Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha Simba inabidi wa download mechi za Yanga alizocheza na waarabu then waingie class kupiga kitabu.

Kama itakuwa ngumu basi wasisite kumuomba professor nabi aje awape notes na madini jinsi ya kimfunga mwarabu especially mechi yenu na Raja.

NB: Simba tumieni chance hii, waarabu wanafungika.

Zero brain
1660824955898.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sisi Simba tumeamua tucheze mpira na kusema kwa vitendo n kuachana na hizi comedy.

Uzuri huyo alieongea anajua dhahiri kabisa kama anachekesha ila kwasababu anajua mafuasi wa team yake ni watu wa aina gani basi anaamuankwa makusudi kujichetua.

Hakuna team siyo Tanzania bali East Africa hii yenye history ya "kuwakanda" waarabu kama Simba na hao waarabu wenye majina makubwa kwelikweli, Simba alishamvua bingwa mtetezi Zamalek, hapa kwa Mkapa alishawatamdika wengi mno hata hawahesabiki kwakweli kwa uchache tu, Ismailia, JS Soura, Berkane, Al Alhy na wengine wengi mno.

Siku zote asie na kitu ndy hujitutumua ili aonekane ana kitu. Maana sasa hv wanahangaika kutengenezea viji record uchwara ilimradi tu waonekane na wao wapo juu. Huwa najiuliza hii team wangechaguliwa kushiriki Super cup tungekunywa hata maji kweli?
Hawa vilaza ushamba na ulimbukeni unawasumbua sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu njiti utapiamlo unamsumbua. Hapa Taifa
Js Soura alikula tatu
Al shandy tatu
Al harrach tatu
Arab contractor mbili
Al ahly moja
Zamalek moja
Hiyo juzi raja kuotea ndiyo kimeamua kitingishe matako kama kijehu!!
Mechi Gani Simba kashinda au draw ugenini Kwa warabu
 
Ww sisi hatukujui kwenye chama letu la mnyama.. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa mechi ngapi huyo Yang'a ambazo wamecheza mpk Simba ijifunze
Mm npo mkuu....muulize broo popoma[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom