Kamwe tusiaminishane upuuzi wa Wahuni! Nchi inajengwa na sisi

Na fedha hazijawahi kuwa ndio chanzo cha maendeleo.
Tunachopata tunapokopa ni fedha tu.
Na kukopa ni pale inapolazimu.
Sio kukopa kopa kopa kopa tuuuu.
Tunaitengeneza zenji ya kibluuu ili iwe kama dubai
 
Tozo iongezeke bila transparency hapana!

Tozo iwe kama mfumo wa Forex tuweze kuona kilichokusanywa daily in realtime.
Kwenye web ya BOT kama ambavyo zile bei za USD, GBP, CAD zinavyodisplay kwenye web za benki zingine.
Wakifanya hivyo hawataweza kutupiga ili wakanunulie ma v8888
 
Hata kujitegemea hutaki ndugu? Sasa utakuwa tafa huru kweli kama hutaki kujitegemea...si utakuwa taifa dangaji?
 
Hueleweki....mmejipiga na kitu kizito
 
JK kambarage au JK Kikweye? Kama ni kikwete alikuwana sera gani nzuri ya kujitegemea kama taifa? Zaidi ya kutalii huku na huko kuomba omba na kukopa pesa.
Ndio Mimi nikamjibu kuwa haeleweki
 
Watu aina yenu mnaishi kwenye utopia! Hata huyo Mwalimu ambae ndie Mwasisi wa Kujijitegemea, nae alikuwa anakopa! Hata hizo nchi tajiri hadi kesho zinakopa!! Issue sio kukopa bali unakopa mkopo wa aina gani na kwa matumizi gani!!Taifa maskini kama Tanzania linatakiwa kujihadhali sana na mikopo ya kibiashara! Kwa bahati mbaya sana, Mpendwa wenu alikuwa ndie mfuasi wa Mikopo ya Kibiashara kwa sababu alifahamu kwa staili ya uongozi wake, taasisi kama IMF zingekuwa zinamfungia vioo au inawezekana alidhani mikopo ya mabeberu ni ile inayotoka IMF na Benki ya Dunia lakini mikopo kutoka private sectors kama vile Standard Chartered Bank, hiyo sio ya mabeberu!
 
Na huu ndio ukweli wenyewe.
 
Halija shindwa mkuu serikali siyo rafiki kwa wa tz maana ukitaka tz ibadirike haraka,wawawezeshe kwenye kilimo na masoko yake watz. Maana aslimia 90 wanaishi mashambani,mkuu baada ya 10yrs tz haitakuwa hivi.
 
Matajiri wengi wana kopa, we fanya savings zako kuna mtu ana akili ya kuchukua hiyo pesa na kuizungusha na kupata faida na akarudisha na riba. Sioni ubaya. Sasa reli ya matrillions uta tegemea tozo? Tozo zenyewe watu wana lalamika kila siku. Watanzania sijui tuna taka nini. Makodi na makato kibao kwa wafanyakazi wa uma alafu nyie wengine hamtaki kulipa kodi
 
Tuongeze tozo na Kodi? Utarudi hapa na Uzi wa kilio, kwa hiyo america, ulaya na Asia wanaokopa ni wajinga? Sisi ndio tuna akili? Kwa makusanyo ya trilioni 1.5 ufanye miradi ya trilioni 50? Ulipe Mishahara, ununue mafuta ya magari, dawa hospitali, ujenge shule na zahanati, madawa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…